Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,944
- 51,083
Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume.
Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM watatekwa, watalawitiwa au kuuawa.
Nini kinaendelea kwenye hizi harakati za kuipinga CCM hadi wanaume wawe kama wamesalimu Amri huku wanawake wakionekana kucharuka?