seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Kwa wale wanaoangalia mambo kwa jicho la tatu, siyo kila ukionacho kwa macho ya kawaida ndivyo kilivyoumbwa. Hakuna utabiri katika hii dunia, kila kitu ni mipango inakuwa imepangwa na watu iwe mizuri au mibaya, ya muda mfupi au mirefu.
Katika kila jambo linalotokea kuna nguvu ya uvutano nyuma yake, kuna msukumo na nguvu kubwa sana. Usikubali mtu akasema voice from within au nimeoteshwa, mara nyingi wanakuwa na taarifa kamili za mipango husika iwe mipango ya muda mrefu au mfupi.
Kuna watu wanataarifa classified lini Israel itaanzisha mashambulizi tena Gaza, kuna watu wana taarifa wabunge gani hawatapata nafasi 2025. Watu kama Kigogo Twitter hakuwa mtabiri au anaoteshwa mambo wakati wa JPM bali kuna watu walikuwa na taarifa za miaka miwili au mitatu zaidi na ni watu wa kitengo.
Kuna watu maisha yao yana utata sana, wanaongea na kutenda tofauti na mioyo yao. Wanatumika kupima upepo na nguvu kwa kigezo cha uwanahabari. Kuna kundi kubwa hapa Jf ni wapiga filimbi na wapima upepo.
Makala za Pascal mara nyingi ni zenye utata sana na ikapelekea mtu asiyejua mambo kumuita bungeni, yaliyotokea huko ni siri. Lakini akina Gwajima na Polepole walituambia waliambiwa kitu gani kwenye kamati ya Bunge, Pascal yeye amekaa kimya. Je, alijitambulisha yeye ni kitengo?
Maulidi Kitenge, Huyu ndio ana utata zaidi na siyo kidogo, ana mambo mengi huwa anatumika kupunguza upepo. Hata wakati ule wa kusisitiza kujifukiza alitumika sana. Ishu ya Ngorongoro anapitia mipango ile ile huku wengi hawamuelewi, hafanyi Propaganda hata kidogo kwenye ishu za kupima upepo.
Kuna listi ya wanamuziki kama Mwana FA na Wengine wana mambo mengi sana. Huyu wakati taarifa za JPM kufariki ni siri aliweka ujumbe wenye utata wa kumuaga JPM kwa lugha ya Fasihi lakini wengi walimuhoji akaupiga kimya.
Watu mliozoea kwenda kuchart PM na kutoa namba zenu za simu muwe makini sana, Kama huna madhara wewe toa namba yako lakini kama una madhara achana na kutoa namba PM.
Hii dunia ina watu wengi lakini inaongozwa na kakikundi ka watu wachache. Tanzania tupo wengi lakini kuna kundi lina taarifa classified na limetawanyika, wengi wakijiita manabii na wanahabari za uchunguzi. Wote hawa husingizia wameoteshwa ndoto au wana sauti ndogo ndani inawasumbua yaani voice from within ya kujua ya kesho au miaka mitatu baadae.