Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Lakini Wazee wa zama hizi hapa Mzizima ndio hawa akina Haji Manara na Aden Rage Dunia inabadika sana enzi zile ilikuwa akina mzee Kambangwa, Kamtawa, Ramadhan Nyamka nk Mzee Mgaya ataingia...
1 Reactions
16 Replies
618 Views
Mtakumbuka kuwa mimi Monalisa Joseph Ndala niliwasilisha malalamiko Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikionesha dosari za kikatiba na kikanuni katika mchakato wa uteuzi wa Mgombea Urais wa...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Heshima sana wanajamvi, Barua kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Mkaazi ya tarehe 12/08/2025 kuhusu uuzaji wa viwanja eneo OLMOT karibu na uwanja wa mpira wa AFCON. Tarehe 12/08/2025...
1 Reactions
3 Replies
347 Views
Tunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza. Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo...
1 Reactions
17 Replies
847 Views
Mapema leo Agosti 26, 2025 mgombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) John John Nchimbi amefika mbele ya Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi Jimbo ambapo mara baada ya...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%. Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%. Ee ndo hivyo bana...
3 Reactions
7 Replies
546 Views
Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Vunjo Enock Koola, leo Agosti 26, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Jana kuna mahali kijiji kidogo cha ruvuma watu wanadai wameunganishiwa maji tokea uhuru hawakuwahi kuwa na maji wanachota kwenye vidimbwi. Nawamedai tokea wapate uhuru hawakuwa na vitu muhimu...
4 Reactions
44 Replies
1K Views
Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani.... Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo.... Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Hivi ukiwasikiliza Nyumbu wa Chadema unaweza kuwaelewaje. Wakati wa Magufuli walipiga Kelele kuwa bora utawala wa kikwete . Leo tena mnasema kikwete hafai, mnabidi mkapinwe UTI sugu
5 Reactions
24 Replies
753 Views
Anatuelezea historia za watu mbalimbali wa Babeli na misimamo yao tangia akina Abraham hadi akina Daniel Dah kwa hakika sasa ndio nimeelewa kwanini Tundu Lisu anawatetea Wapalestina badala ya...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP. Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake . Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi...
4 Reactions
2 Replies
596 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto, ametangaza rasmi ratiba ya mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, akieleza kuwa mgombea husika...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Tumeuliza hili kwa sababu ya Utaratibu wa CCM kwenye jimbo hilo ni kuwateua Wakuu wa Mkoa huo. Sasa aliyekuwepo katoka na aliyekuwa kabla yake kagombea Ubunge, Pedeshee Makalla ndio kawa Mkuu wa...
2 Reactions
2 Replies
261 Views
Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
0 Reactions
7 Replies
521 Views
Hii kanda kila nikiisikiliza namkumbuka komredi Lucas Mwashambwa sijui kwanini 😄
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…