Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na...
3 Reactions
15 Replies
793 Views
Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.” Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na...
19 Reactions
126 Replies
6K Views
Hivi tunakumbuka uongo huu mkubwa kuwahi kutamkwa na maana siasa? Mpaka leo hajamkatia hata passport house girl wake! Hajatubu!
0 Reactions
5 Replies
547 Views
Mpina kuvaa Tshirt yenye picha ya hayati Magufuli anaweza kuwa ni 'Right Person in the wrong Party' Luhaga Mpina ni mgombea Urais kwa Chama Cha ACT wazalendo. Tangu akiwa Mbunge Mpina ni mtu...
5 Reactions
15 Replies
856 Views
Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine. Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa. Kadogosa ameyasema...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
GT Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na...
30 Reactions
42 Replies
3K Views
Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu na migogoro yoyote...
1 Reactions
4 Replies
454 Views
Uchaguzi ukiisha tu, nao wanapotea maana hawana mtu hata mmoja nyuma yao. Na watu wana hasira ya kuwa wasaliti wa chadema ya kweli! Watakuwa toilet papers as put by Kipanya
3 Reactions
15 Replies
526 Views
Mtu wa ndani kabisa ambae kila mtanzanzania anajua alishakuwa Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. Hivyo ni dhahiri alishashiriki uovu aliouweka wazi Alafu wanaibuka viongozi wa Inec na Nida...
2 Reactions
12 Replies
421 Views
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Soma Pia...
1 Reactions
5 Replies
933 Views
Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake! Toeni tamko...
7 Reactions
13 Replies
767 Views
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, ametoa onyo kali na kupiga marufuku waandishi wa habari ambao hawana ithibati kutoripoti kabisa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Akizungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wakili Msomi Patrick Kipangula Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia...
2 Reactions
11 Replies
557 Views
Mungu sio Athumani, na wala Mungu hadhihakiwi, ipo siku mbichi na mbivu za michezo michafu ya wizi wa kura inahusishwa kufanywa na January Makamba, Nape Nnauye na Kinana itawekwa wazi na wao...
3 Reactions
3 Replies
292 Views
Kama wewe ni mdadisi wa kutaka kupima hisia za ukweli wa tuhuma fulani, basi angalia kwanza mrejesho wa mwanzo wa yule aliyetuhumiwa (yaani Reaction ya mtuhumiwa). Baada ya Pole Pole kuzilipua...
4 Reactions
12 Replies
717 Views
Leo tutahakikisha huathiri maisha ya watu kwa namna yoyote. Wewe uliamua kuachia Ubalozi. Wengine bado tunataka tufanye kazi na tustaafu kwa Manufaa ya familia. Unalotaka kufanya ni kuharibia...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara...
2 Reactions
20 Replies
962 Views
Back
Top Bottom