Bwana Mh Rais mwachie Lissu, tunachoshana.

Kuendelea kumshikilia Lissu kunaonyesha mama alivyo na roho mbaya. Naamini IPO siku atakuja kushikiliwa mahabusu kama Lissu,
Haina shida kwanzq anze kukaa lisu hata 7 yrs to come ajue ule mdomo na vindefu kama kambare achague la kusema
 
..anavyozidi kuwekwa ndani ndivyo anavyozidi kuungwa mkono.

..mara baada ya kukamatwa Tundu Lissu alikuwa anatetewa na wanachadema peke yake.

..sasa hivi Tundu Lissu anatetewa mpaka na baadhi ya wanaCcm, viongozi wa dini, watu ambao mwanzoni walikuwa hawamuungi mkono.

..sijawahi kuona mhaini akitetewa na wananchi waziwazi kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
 
Usimuamshe aliyelala USINGIZI wa pono
 
Ukweli ni kuwa kuwekwa mahabusu kwa Tundu Lissu kumewawezesha waTanzania wengi kumfahamu vizuri Lissu na kutambua uwezo wake mkubwa kiakili.
Sasa hivi hata Samia mwenyewe anamfahamu vizuri zaidi na kuwa na hofu kubwa juu ya kupambana naye kwenye kura za waTanzania.

Tundu Lissu sasa hivi yupo kwenye ngazi tofauti kabisa katika mwelekeo wa uongozi hapa nchini.
 
Haina shida kwanzq anze kukaa lisu hata 7 yrs to come ajue ule mdomo na vindefu kama kambare achague la kusema
Hiyo miaka 7 anaistahili sana Samia Suluhu Hassan kwa madudu mengi aliyolifanyia taifa hili. Kwa hiyo vuta pumzi kidogo uanze kumfikiria huyo mama yako katika hali hiyo inayomsubiri.
 
tulieni mpaka Haki IJE itendeke
Haya mambo ya kuachiana Kwa huruma ya rais ni dharau baadae
 
Mwache ashike adanu, mwenyewe kakori kosa hadi leo kawazuia CHADEMA kupiga kura ili eaepuke kulipuliwa siku ya Uchaguzi. Wangesema wako milioni 9 wataingia barabarani kuzuia Uchaguzi unataka nini tena? Lililobaki ni kwa Afande Muliro nadhani kajiandaa badala ya kusubiri hadi aanze fujo unamueeka pembeni. Siku ile CHADEMA walipanga kuandamana hivo hivo skajitokesa Mbowe na Binti yake kina Heche walikuwa Nairobi na Lissu alikuwa kwao Ubelgiji. Akili ya kuambiwa? Na wewe tia yako.
 
Pole sana Lissu Ila tulikuambia usitumike na wanamtandao watakutumia kumshambulia Magufuli baada ya hapo watakutupa.
 
Back
Top Bottom