GE2025 John Mnyika: Zuio la Mahakama halijatufanya CHADEMA tusitishe Michango ya Tone Tone

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
218
Reaction score
860
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia.

Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika Baraza Digital lililofanyika kupitia mtandao wa Zoom akisema utakuwa ndio utamaduni wa kuedesha chama.

Kauli hiyo pia imeungwa mkono na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche akisema hata ruzuku wanayopata haitoshelezi kuendesha chama, hivyo amewaomba Watanzania waendelee kuchangia.

Mungu Ibariki Chadema

Tunaomba hizo link ziwe zinawekwa hapa ili watu tuchangie ,

wajiunge na watu wanaoitwa Pesapal, wawapatie link ambay mtu yeyote anaweza lipa online popote duniani noth TZS or USD

Vile vile wawe Bitcoin wallet ambayo vile vile watu wanaweza tuma michango

Second kipindi hichi ambacho chadema hawapo kwenye harakati za uchaguzi ni bora wakafanya kazi ya kuandikisha wanachama vile watu wengi sana wana hasira na chama chakavu
 
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia.

Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika Baraza Digital lililofanyika kupitia mtandao wa Zoom akisema utakuwa ndio utamaduni wa kuedesha chama.

Kauli hiyo pia imeungwa mkono na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche akisema hata ruzuku wanayopata haitoshelezi kuendesha chama, hivyo amewaomba Watanzania waendelee kuchangia.

Kumbee yote maisha tu.
 
Back
Top Bottom