Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania Watanzania Watanzania. Nimewaita mara ngapi ? Hivi tunashindwa wapi kuingia barabarani kuwaondoa hawa madhalimu. Embu kama tarehe 29 mwezi wa 10 unaingia barabaran kudai haki comment...
1 Reactions
6 Replies
422 Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubungo kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa. Zitto Kabwe amekubaliana...
4 Reactions
73 Replies
7K Views
Wanabodi, Ubunge wa EALA ni mara yangu ya pili kujaribu kugombea kupitia CCM, mara ya kwanza nilijaribu Ubunge jimbo la Kawe, nikashauriwa ili kuchaguliwa ni lazima 'uwaone' wajumbe...
35 Reactions
94 Replies
8K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima James Mdee hana usingizi, akitafakari rafu za mapema ambazo inadaiwa anapigwa na wapinzani wake...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa...
13 Reactions
46 Replies
3K Views
Dodoma. Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndg. Angela Charles Kizigha Ndg. Nadra Juma Mohamed Dkt. Shogo Richard Mlozi Dkt. Abdullah Hasnu Makame Ndg. Machano Ali Machano Ndg. Mashaka Halfan Ngole Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba Ndg. James...
9 Reactions
119 Replies
13K Views
Tuseme tu ukweli. CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi. Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm...
44 Reactions
56 Replies
4K Views
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Hawa watu Maisha yako YAMEKAA Kuua ua na Kuteka teka !!.
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kardinali ni kiongozi wa kiroho wa kanisa ambalo limehitimisha mfungo wao wa Novena kuombea haki na amani vitawale katika Taifa la Tanzania. Kimamlaka ni kiongozi mkubwa lakini ki protocali yuko...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili...
1 Reactions
5 Replies
656 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga kwa ukali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wake wa urais, Luhaga Joelson Mpina, kurejesha fomu za uteuzi, kikieleza kuwa maamuzi...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Heshima sana wanajamvi, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata. Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha...
2 Reactions
4 Replies
330 Views
Sasa Utaratibu wa kampeni kwa Chopa umekuwa maarufu sana hata CCM wameupenda Freeman Mbowe akasajili Wazo lake awe analipwa na vyama vya siasa watakaofanya “ Kampeni kwa Chopo” Ahsanteni sana 🙏✔️
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Kiukweli hela ipo kubwa Sana mtaani , ikiwa hautojenga msimu huu , usije kulalamika baadae.
2 Reactions
12 Replies
528 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…