Mbinu Chafu za CCM Jimbo la Ubungo Dhidi ya Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu Chafu za CCM Jimbo la Ubungo Dhidi ya Mnyika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by LUSAJO L.M., Oct 29, 2010.

 1. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubungo kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana yafuatayo kuhakikisha mgombea wao anashinda:

  1. Kugawa kila mtaa Shilingi za Kitanzania Milioni Moja (TZS 1,000,000/=) ya kuhonga wananchi tarehe 29 na 30 Oktoba, 2010. Tunayo majina ya baadhi ya wasambazaji.
  2. Wamepanga kupita na gari Tarehe 30 Oktoba 2010 na pia kutumia Mabalozi kusambaza uvumi kuwa Mnyika ameamua kumwachia Hawa Kiti cha Ubungo.
  3. Wamekubaliana watumie polisi kuweka rumande vijana vijiweni mpaka jumatatu kupunguza kura.
  4. Mabalozi wameelekezwa watafute watu wawili wa kupiga kura vituo hewa. Tayari CHADEMA imevitambua vituo hewa na kuandika barua ya kuvikataa.

  Tutazidi kuwapa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea.

  kny: JOHN J. MNYIKA.
   
 2. T

  The King JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali inatisha!:angry:
   
 3. c

  chamajani JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Plz re-post your thread!
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jamani kuanzia leo vijiwe visiwepo...................
  hivi kwani huko rumande mtu huruhusiwi kupiga kura? au wanaopiga kura ni watu huru tu? naomba kuelimishwa tafadhali
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  na wasimamizi wakuu jimbo la ubungo leo ndo walikuwa na kikao cha siri, kupewa maelekezo na ccm namna ya kubadili matokeo na wizi wa kura. wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wanafanya yote wanayoagizwa, mawakala hawana sauti, wamepigiwa mstari hakuna kuvuka, wakivuka tu wametegewa mtego, watatolewa nje na polisi na waliobaki ndani ndo watafanya wizi harakaharaka. KAMA TUKILINDA KURA, NA KUHAKIKISHA KURA HEWA NA KURA ZA KUONGEZWA HAZIINGIZI CCM, uchaguzi huu upinzani tutashinda hakika. Mnyika wamepanga kumwibia kura kama walivyofanya kipindi kilichopita....watu wote waliosimamia uchaguzi ubungo kipindi kilichopita wanakiri mnyika alishinda lakini mbinu za ccm zikafanya kazi. WATU WANA DHAMBI KWELI, hata huruma hawana kwa kijana wa watu yule! hii ndo siasa ya tz.
   
 6. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  hiyo ni kweli kabisa hapa kwetu moshi pamoja na Hai walishaanza kutawanya pesa.inaonekana zina baraka ya makubwa kwani vijana wa Hosea tumewafuata wakadai wanafanya uchunguzi wakati sisi tulitaka tukawaonyeshe wanapogawia wakapiga chenga
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hii thread na uliyoyaandika yana baraka za Mnyika??
   
 8. t

  thesonofafrica Senior Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 110
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  another false alarm.It does not rocket science to realize that mweka thread anapima uwezo wa great thinkers ku-analyze issues.Hakuna kitu hapa.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  weka hayo majina wewe unaogopa nini?
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubunge kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana yafuatayo kuhakikisha mgombea wao anashinda:

  1. Kugawa kila mtaa Shilingi za Kitanzania Milioni Moja (TZS 1,000,000/=) ya kuhonga wananchi tarehe 29 na 30 Oktoba, 2010. Tunayo majina ya baadhi ya wasambazaji.

  2. Wamepanga kupita na gari Tarehe 30 Oktoba 2010 na pia kutumia Mabalozi kusambaza uvumi kuwa Mnyika ameamua kumwachia Hawa Kiti cha Ubungo.

  3. Wamekubaliana watumie polisi kuweka rumande vijana vijiweni mpaka jumatatu kupunguza kura.

  4. Mabalozi wameelekezwa watafute watu wawili wa kupiga kura vituo hewa. Tayari CHADEMA imevitambua vituo hewa na kuandika barua ya kuvikataa.

  Tutazidi kuwapa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea.

  HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!

  kny: JOHN J. MNYIKA.  Jana pia mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Angela Kizigha<Walikutana kwa siri Na Rais Mtaafu na Charles Kimei kwenye Ukumbi wake wa Five Star uliopo karibu na nyumba yake... Sijapata kujua walikuwa wanajadili kitu gani huko.

  Mganyizi

  29/10/2010
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mimi nipo jimbo la ubungo, ntaamka saa kumi na moja asubuhi nimpigie kura rais wangu slaa na mbunge wangu mnyika na diwani wangu wa chadema.
   
 12. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #12

Loading...