Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu. Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka...
1 Reactions
7 Replies
287 Views
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM...
3 Reactions
6 Replies
914 Views
Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi...
3 Reactions
84 Replies
3K Views
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ? NIDA ijitegemee INEC ijitegemee Banki ijitegemee NECTA ijitegemee RITA ijitegemee TRA ijitegemee TUCTA ijitegemee Utumishi...
5 Reactions
92 Replies
4K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
1 Reactions
4 Replies
400 Views
Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu...
0 Reactions
4 Replies
445 Views
WOTE WEZI TU! Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
1 Reactions
4 Replies
667 Views
Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa...
24 Reactions
109 Replies
8K Views
Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole...
0 Reactions
5 Replies
492 Views
“Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi. Wakati fulani...
1 Reactions
9 Replies
799 Views
Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mliosema hawezi kwenda mwamba huyu hapa😀😀😀
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua...
1 Reactions
1 Replies
229 Views
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea...
13 Reactions
50 Replies
3K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015 Mheshimiwa...
1 Reactions
192 Replies
50K Views
Mwali kaona Mapungufu yake, baada ya Novena , hivyo kupendekeza apewe Matron . Matron kasoma Sheria , hivyo anajua umuhimu wa Katiba, maana ya Uhaini, na madhara ya Kufungia Kanisa la Ufufuo na...
3 Reactions
4 Replies
575 Views
Back
Top Bottom