My Take
Ongezeko la mishahara limemwaga pesa mtaani na kuongeza mzunguko wa Fedha.
=====
Chini ya Rais Samia, mishahara ya watumishi wa umma imeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2020|21. Katika...
Hali ya kisiasa katika kata ya Msimbati imechukua mkondo wa taharuki, baada ya baadhi ya wananchi kudai kuwa hawatashiriki kupiga kura kufuatia jina la diwani wao kukatwa kwenye mchakato wa uteuzi.
Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu...
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata...
Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo...
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya...
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi...
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta...
c&p
Kutoka X
Hawa ndio wanapambana kwa nguvu zote ili wamnyonge Lissu. Tuwaombee maisha marefu ili nao siku moja wavalishwe pingu na kusimama Kizimbani
Nassoro Katuga
Tawabu Issa
Job mrema...
Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field.
Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi...
Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu.
Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini...
Akizungumza na Wananchi kwa njia ya Mtandao kutokea Baharini, Sugu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, pamoja na mambo mengine ameeleza jambo la kufedhehesha, ambalo linafichwa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka...
Bwana Humphrey Polepole keshatuandaa vema kumsikiliza leo tar 21. O8. 2025.. Ni tangazo lenye hamasa kwamba litatokea jambo kubwa.. Kwa maneno yake ya siku za nyuma aliwahi kusema wasipomsikiliza...
Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya.
Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida...
Kutokana na hali ilivyo CCM hawawezi kukubali nchi nzima washinde wao tu..
Kumbuka kuna makubaliano na ACT na Chaumma kuachiwa baadhi ya majimbo ili kuaminisha taasisi na jumuiya za kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.