Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana...
7 Reactions
78 Replies
4K Views
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutupwa katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara amejitokeza na kusema alikuwa na ndoto ya...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika. Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Singapore yachangamkia fursa za biashara uwekezaji nchini Tanzania Wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini Singapore wameonesha nia ya kuongeza uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara na Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
437 Views
Kumuua binadamu mwenzio asiye na hatia Kisha kumtia kwenye kiroba na kumtupa Ili umma ujue ,inalenga kuwatisha wananchi waone kwamba ninyi ni wa kuogopeka. Ninasema waliouwawa ni wasio na hatia...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania kufahamu kuwa ulinzi wa pesa zao chini ya Rais Samia hauna kifani kwakuwa kipimo pekee...
35 Reactions
279 Replies
10K Views
Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais. ========== WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi...
30 Reactions
150 Replies
11K Views
Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
UPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala...
14 Reactions
152 Replies
8K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Nawapa pole ndugu wa Ben Saanane hususan Baba yake mpendwa, Focus Saanane na mdogo wake Erasto Saanane ambao kwa zaidi ya wiki sasa wanahangaika kumtafuta mpendwa wao...
18 Reactions
272 Replies
36K Views
Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa...
6 Reactions
103 Replies
4K Views
Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi.
1 Reactions
5 Replies
554 Views
Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Raisi wa TLS na huyo Kadinali wa Katoliki watakuwa wamempa Mama hii advantage bila wao kujua. Kumuachia Lissu bila kuonekana kuna watu wamemuomba Mama ingekuwa ni fedheha kwa watawala kuwa...
85 Reactions
139 Replies
8K Views
Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Gwajima na Polepole ni project ya mtu mmoja na script writter ni mtu mmoja ndiyo maana hawaishi kurudia rudia kuongea vitu vilevile kila siku kwa kuwa hawana ajenda ya kusema na...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
CCM bado ina mambo ya kishamba sana na haibadirishi mbinu ndio maana hata nchi miakabyote matatizo yale yale, haya tunasubiri hilo nyomi la wanafunzi maana nasikia tayari maelekezo yamesha tolewa...
2 Reactions
3 Replies
471 Views
Kura zimejitokeza 1,000 eneo la msitu wa Mabwepande. Wanachama wa CCM wakiwepo baadhi wa wagombea wamepanga kuandamana leo baada ys kura karivia 1,000 kujitokezaeneo la msituni wa Mabwepande...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…