Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya

Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya

Unavyoongea utafikiri utafikiri tupo kwenye kichwa chako
 
FB_IMG_1756317313669.jpg
 
😂Nani atajoini hapo sasa mkuu
Mi salary ndiyo nimepata jana....nilitamani ungekuwepo uokoe jahazi...ikabidi niuze kuni niendelee kuishi😓
Yaan inamaana hazina nayo kwishineyi,au mtandao tu ulicheza?
Habari za hazina sitaki hata kuzisikia.. Heri yako wewe ni salary.. Suppliers wako kwenye maombolezo
 
Mbona kama anaongea kilaini sana. Angekuwa anaongea hivi siku zote angeshapewa hata uwaziri wa Sheria.

Ubishiubishi haulipi
Muhutasari wa maelezo yake watu tujitokeze kusikiliza kampeni na kupiga kura.
 
Back
Top Bottom