Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa...
11 Reactions
167 Replies
6K Views
Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani...
3 Reactions
4 Replies
328 Views
Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Akizungumza kupitia njia ya mtandao leo, Agosti 27, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa kitendo cha Mpina naTume ya Uchaguzi kugombea Urais walikuwa na taarifa za awali...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nauliza tu maana Sioni kama majukumu yao yanahitaji ukongwe wa Sheria Nimekaa pale 🐼✔️
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Wakuu habari, Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
0 Reactions
19 Replies
1K Views
"Katiba yetu inasema watu wote ni sawa na watawajbika kwa mujibu wa sheria, kwa maneno mengine hakuna mtu yeyote ambaye yuko juu ya sheria isipokuwa kama sheria hiyohiyo inampa kinga kwamba hawezi...
0 Reactions
5 Replies
577 Views
Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
27 Reactions
143 Replies
9K Views
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu Wanaojaribu...
128 Reactions
292 Replies
17K Views
Wakuu habari, Tufuatilie live ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akitoa tamko Muda huu https://www.youtube.com/live/u4jupslBLE8?si=gvSCRvis826W9uvQ...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Samahani kwa taarifa ya ghafla tukutane kutoka muda si mrefu mpaka saa 6:00 usiku leo. Tuzungumze kidogo mustakabali wa Taifa letu. Mungu wa Mbinguni Aliyehai Awabariki ...
21 Reactions
70 Replies
5K Views
Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki. Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea...
5 Reactions
12 Replies
795 Views
Ni kweli hatuna udikteta wa mtu ila tuna u dikteta wa chama, udikteta ambao chama na serikali vimeshindwa kabisa kujitenga yani kilipo chama ipo serikali na ilipo serikali kipo cha chama...
2 Reactions
8 Replies
402 Views
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani Wajasiliamali waliopewa mikopo binafsi (Personal loans ),thamani ya mikopo hiyo ilifikia jumla ya TZS 7Trilioni miaka minne baadae mikopo hii imefikia...
2 Reactions
15 Replies
606 Views
ALIYEJIPACHIKA jina la mwanaharakati huru nchini, Cyprian Musiba, amejitosa katika mbio za ubunge katika jimbo la Mwibara, mkoani Mara, kupitia chama cha ACT-Wazalendo. Kabla ya kujiunga na...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
January Makamba mbunge wa jimbo la Bumbuli na waziri msitaafu uliyetimuliwa kazi na Marais wawili tofauti, kwenye awamu mbili tofauti sasa umeyatimba baada ya kujulikana hadharani kwamba ulipigwa...
10 Reactions
64 Replies
3K Views
Tuache kulalamika, MTU ameingia katika siasa, kakukbali kutukanwa , kubezwa n.k Na nyie mlisema siasa ni Mbaya Ila Leo hii mnalalamika nini sasa.
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China. Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina...
0 Reactions
3 Replies
493 Views
Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha 1. Kwamba CCM hawawezi kushindana 2. Kwamba kura zinaibiwa 3. Watu wa Mama ndiyo watekaji 4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao 5...
8 Reactions
5 Replies
799 Views
Back
Top Bottom