Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Agosti 17, baada ya kuzisikia hoja za Luhaga Mpina akiwahutubia wafuasi wake dhidi ya Rais Samia na Serikaliyake, niiandika makala tajwa hapo chini, ambayo jana Agost 26, yametimia...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Mliofuatilia urejeshaji wa fomu za urais 2020 mtakumbuka Tumdu Lisu aliwekwa pending hadi usiku ndio akapitishwa Sina mengi Mlale unono 😄✔️
1 Reactions
22 Replies
925 Views
Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu! Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini. Hata hivyo...
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Kawe imenoga na Leo Baraka za Mungu zitawashukia Wanaccm wote na wasio CCM watakaohudhuria mkutano mkubwa wa ufunguzi wa Kampeni za CCM pale Njia Panda ya Mbinguni Kawe Ni Baraka kuu kwa taifa...
2 Reactions
23 Replies
962 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemkabidhi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, gari aina ya Land Cruiser pamoja na dereva, kwa ajili ya kampeni na kwamba...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema "Watu wanatekwa mpaka tumezoea kutekwa, Watu wanatekwa tuko tunashangaa tu utafikiri Nyumbu wanavyokamatwa kwenye...
1 Reactions
4 Replies
818 Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema kumekuwapo na msisitizo mkubwa wa kulinda...
3 Reactions
2 Replies
624 Views
Wananchi mbalimbali na wanachama wa chama cha mapinduzi wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza mgombea ubunge kupitia chama hicho kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya Ubunge. Hata hivyo...
2 Reactions
11 Replies
828 Views
Kufanya kosa sio kosa, ila endapo ukiendelea kukosea baada ya kulitambua kosa lako la awali, hapo yafaa kabisa wewe kuwekwa kwenye kundi la wapumbavu! Ujumbe huo uwaendee ACT Zanzibar...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt,Emmanuel John Nchimbi ambaye kwa sasa ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimkabidhi nyaraka Katibu...
1 Reactions
5 Replies
442 Views
Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake...
21 Reactions
143 Replies
13K Views
Huwa nawatafakari sana Watanzania wa kizazi hiki wanaoimba kikwete alikuwa anapenda demokrasia. Najiuliza je Dr. Ulimboka au Mwangosi naye anasema hivyo hivyo Marehemu huyu? Najiuliza waliouawa...
12 Reactions
108 Replies
9K Views
  • Closed
Kama Taifa kuna muda lazima tukomeshe baadhi ya mambo nafsi inanisuta na imenisuta sana kukaa na baadhi ya mambo ambayo Nina ushahidi kabisa ! Utekaji lazima ukome, Wizi serikalini unaofanywa na...
153 Reactions
305 Replies
21K Views
Habari Jamii forum Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo , Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Back
Top Bottom