Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa...
25 Reactions
230 Replies
8K Views
Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua...
39 Reactions
121 Replies
6K Views
Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo?? Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri. Yule...
7 Reactions
14 Replies
945 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kupitia tiketi ya CCM leo, Agosti 28, 2025, katika Viwanja vya...
2 Reactions
119 Replies
7K Views
“Chama cha siasa si mali binafsi ya mtu, bali ni mali ya umma kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa. Hivyo kinapaswa kuendeshwa kidemokrasia, kwa...
2 Reactions
1 Replies
277 Views
Kweli Hananja. msanii wa dini, Mwamposa Msanii wa Dini leo ndio wa officiate sala ya ufunguzi? Nchi hii ina vituko. --------- Mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa, alivyoshusha maombi katika...
4 Reactions
14 Replies
912 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama...
1 Reactions
6 Replies
611 Views
Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kwa yanayotokea Zanzibar kupuuzwa na wengi wa Watanganyika mpaka uovu uanze kuwafika ndio huanza kulalamika. Hayo maovu yote yanayotokea Tanganyika hivi sasa kwa Zanzibar...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeona hii kitu nimesikitika sana. ... ila TZ Inawenyewe.. kabla ya kampeni au baada atadondoka mtu
1 Reactions
6 Replies
700 Views
Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina...
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Mwenyekiti chama mkoa wa Tabora Anatory Katabwa ameeleza sababu za mgombea wao wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Tabora mjini Ally Kahegi kushindwa kurejesha fomu ambapo amefafanua kwamba mgombea huyo...
2 Reactions
15 Replies
675 Views
Kwa mujibu wa jarida maarufu la Nchini Nigeria la NairaMetrics ni kwamba Tanzania,Morocco & South Africa ndio Nchi pekee ambazo zimetoa viwanja 2 vya Ndege vilivyo Busy (kuwa na Miruko Mingi au...
3 Reactions
12 Replies
707 Views
Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana...
7 Reactions
78 Replies
4K Views
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutupwa katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara amejitokeza na kusema alikuwa na ndoto ya...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika. Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Singapore yachangamkia fursa za biashara uwekezaji nchini Tanzania Wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini Singapore wameonesha nia ya kuongeza uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara na Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
437 Views
Back
Top Bottom