Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana .
Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali...
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo...
Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za...
Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya uandikishaji wa watu watakoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, CHADEMA wanahamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha lakini CCM wanaendelea kuimarisha mbinu zao...
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala.
Moza amesema anafahamu matatizo...
Hawa hapa
Kingine unachopaswa kukumbuka ni hiki, Dkt Wilson Mahera aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi 2020 ni Mgombea Ubunge Jimbo la Butiama kwa tiketi ya CCM
===========
Mgombea wa...
LITANIA YA USHINDI
Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie mtu huyu kwa salama ili naye atuvushe kutokea sasa na hata baadae ili akiingia kuwa kiongozi wa nchi, basi aiweke misingi ya...
Wote tunakumbuka nyomi ya Lowasa 2015 wakati anarudisha fomu Tume ya uchaguzi jinsi lilivyosimamisha shughuli zote Posta
Kesho yake Tume ya uchaguzi ikapoga marufuku wagombea kusindikizwa...
Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama
Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la kanisa katoliki Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino...
Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na...
Niseme ukweli kutoka moyoni sija au hatujafanya juhudi zozote kuipigania Tanganyika inayoporwa rasilimali zake zaidi ya kulalamika mitandaoni nasubiria watu walianzishe nikaitete inchi yangu kwa...
Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua?
Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa...
MONALISA JOSEPH NDALA | 0657299225 | 0741299226 | ndalamonalisa50@gmail.com
26 Agosti 2025
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UAMUZI WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSIANA NA MALALAMIKO YANGU DHIDI YA...
Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM...
Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo...
Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
PRESS RELEASE
Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitoa Ratiba ya Wagombea wa Ubunge kuchukua na kurejesha Fomu za Kugombea (Fomu za Uteuzi).
Leo tarehe 27/08/2025 ni siku ya mwisho ya kurejesha Fomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.