PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Sep 2, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wana JF,

  Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.

  Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.

  Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.

  Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).

  Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.

  -----​

  [​IMG]
  Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.


  [​IMG]
  Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio

  Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.

  [​IMG]
  Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.

  Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
   

  Attached Files:

 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wamekuruhusu!
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ivi wassira ni nani waziri wa ulinzi ama?mana siwajui awa mawaziri wapya
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  weka basi.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Ungetuma PM tu au moshi unalevya?
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wapi picha sasa?
   
 7. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Bado hawajaniruhusu. Nimetuma nakala kwa taasisi za haki za binadamu. Ndugu wa karibu wa marehemu lazima watambue sura za waliomwua ndugu yao. Na picha zimechukuliwa wakati akiwa anatendewa kitendo hiki
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  tupia tu mwanawani tujionee uhaini..
   
 9. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  mkuu mwaga ulichanacho...huna haja ya kuomba ruhusa...
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  weka tu nimekuruhusu.
   
 11. K

  Kiwera Mikaeli Senior Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Please go ahead. Please consider this is approved.
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,217
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Tunazisubiri weka mods hawana ngwengwe.
   
 13. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sasa si uweke mkuu, hadithi za nini?
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Weka bana .....kwani si kweli wameua? Hivi kuna haja gani kuwaficha wauaji?
   
 15. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Sawa, nimeziweka lakini nikifungiwa niteteeni
  Ok
  Wewe ni mod? Wakinifungia mnitetee.
  Kuna haja ya kuomba ruhusa.
   
 16. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Vitendo kama hivi ni vya kulaani, PM sijui inatumwaje. Mimi si mvuta bhangi, nilikuwa eneo la tukio na nimeshuhudia kilichotokea.
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Roho inaniuma mnoo jamani kwa haya mauaji
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu, huyu wamemkatakata kwa panga au ni risasi tu? Ee Mungu, inusuru nchi yako hii!!!!!!!!!!!!!
   
 19. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeruhusiwa mkuu, shida iko wapi, kama ni za kweli, weka.
   
 20. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,709
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu ziweke wakati mods wanatafakari !


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
Loading...