Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo.
Kwa sasa Polepole ameanza...
1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ??
Anahofia nini ?
2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have...
Akram Aziz, mdogo wake Rostam Aziz, amekamatwa na nyara mbalimbali za serikali zikiwemo Pembe za ndovu. Amekamatwa jana, Oktoba 30, 2018 mida ya saa 7 mchana maeneo ya Msasani Jijini Dar na Task...
Hii makala nimeandika kama sehemu ya mchango wangu kumshauri Mkulu baada ya kusoma makala nyingine mbayo imeandikwa na mwana JF.
Naomba kuwashirikisha makala hiyo hapo chini; pia ntakupeni nini...
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la...
Maneno aliyoyatoa leo mtu aliyekuwa na nafasi kubwa ndani ya chama cha CCM sio ya kupuuzia.
Alikuwa mjumbe wa kamati kuu, halmashauri kuu na mjumbe wa mkutano mkuu
Sio mtu asiejitambua kiakili...
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema:
Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo...
Wakati ule tulisema Christopher Mtikila sio yeye yule kabla hajaenda kusoma Ulaya,labda wazungu wametuletea Christopher Mtikila mwingine,sasa na huyu ndugu yetu Mwabukusi labda si yeye kuna...
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea
Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV
Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha...
Hizi ndio sifa 90 za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dkt.Samia Suluhu Hassan.
1. Anajitambua
2. Analijua vizuri eneo (Nchi) analoliongoza na watu wake
3. Anaielewa vizuri kazi yake na...
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro...
Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza?
Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za...
Pesa za Corona mwaka 2021 wewe Kikwete ulikuwa rais mstaafu na kuheshimu sana ila mimi ndiye niliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya utawala na Serikali ya mitaa ndio nilipitisha kwa mkono wangu pale...
ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA.
Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa.
Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa...
Wengine Walisema mwalimu Nyerere alitaka Salim Ahmed Salim ndio awe mrithi wake mwaka ule 11985 lakini Waunguja wakakataa
Ninachokiona kwa Mpina ni kukataliwa na Wahafidhina ndani ya ACT...
Yaani anataka nao Wapewe Magari ya kuzungukia kwenye Jimbo kuomba kura kama Wagombea Urais walivyopewa na Kailima.
Kilio chake hiki hapa
Toa Maoni yako