Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
==Ndugu Wananchi, akizungumza na wananchi mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe Mrindoka amesema sekta ya kilimo katika Mkoa wa Katavi inachangia asilimia 90 ya pato la Mkoa na kuajiri asilimia 85 ya...
1 Reactions
5 Replies
479 Views
Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Wakuu, Mahakama Kuu Kanda ya Manyara yafuta amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu...
17 Reactions
113 Replies
8K Views
Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%...
1 Reactions
3 Replies
433 Views
Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema utaratibu uliotumika kumuidhinisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM...
1 Reactions
7 Replies
583 Views
Job Opportunity at Wassha Inc. Tanzania Branch Wassha Inc. Tanzania Branch is seeking a dedicated Human Resource Officer to join our Corporate Department in Dar es Salaam. This role provides...
1 Reactions
1 Replies
367 Views
Huu ndio ukweli mchungu na ni aibu na fedheha kwa CCM . Yaani kama ambavyo ligi kuu haiwezi kunoga ikiwa mojawapo ya timu kati ya Simba au Yanga ikiwa haishiriki kwa kufungiwa au kususia ligi...
2 Reactions
11 Replies
545 Views
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa...
19 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Tuna Rais mbele yetu kama Taifa, Tuna kiongozi mwenye upendo na Taifa hili, tuna Jemedari hodari ambaye wakati wote ni Mshindi,tuna kiongozi mwenye maono...
-1 Reactions
63 Replies
4K Views
Watu wote wamezuiwa kutumia resources za CHADEMA kama wanataka nyaraka wafungulie CHAMA kishwa waende kwa Katibu Mkuu John Mnyika na kamati tendaji yake waulize maswali kuhusu hizo financial...
6 Reactions
5 Replies
619 Views
Spika zilikuwa siyo nzuri, au more specifically, Samia alipokwenda kwenye podium hawakutayarisha vizuri. Halafu nimefika pale, nimeona watu wanazuiwa kupiga picha. Mtu mmoja amekamatwa na mtu...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kunaanza kuchangamka. Kwamba? Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu? Tena na chigogo yule mwenyewe kabisa, ili kama vipi kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga pendwa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
https://youtu.be/P6jvaORsayA?si=2Lviy87IMGUvvYv5 Barnaba Tillya mme wa marehemu Irene Tillya mpaka sasa haamini kama kweli mke wake kipenzi hayupo duniani na kila anapofikiria kilichotokea ndani...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Kwa ile nyomi ya jana pale Tanganyika Packers, naiona dhahiri CCM ikitawala kwa zaidi ya karne moja tena. Kwanini? CCM ina wanachama wengi, zaidi ya milioni 13 na ndio chama chenye wafuasi...
2 Reactions
20 Replies
975 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona Kwenye Biblia takatifu kitabu cha...
48 Reactions
146 Replies
7K Views
Back
Top Bottom