Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori...
78 Reactions
349 Replies
20K Views
Polepole: Mzee Mangula angekuwa na uthubutu angezungumzia utaratibu wa mgombea Urais CCM. Wazee wa CCM walijisahau wakapinduliwa na wanamtandao
3 Reactions
7 Replies
737 Views
Habari zenu wakuu, Mimi kama mtanganyika naishauri serikali yangu tukufu ihamishie makao makuu ya mkoa mpya wa Geita wilaya ya Chato kwa sababu mpaka 2020 patakuwa manispaa kabisa, kutakuwa na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia. Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege...
17 Reactions
581 Replies
34K Views
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi. Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa. Tuache wivu na chuki .
5 Reactions
58 Replies
3K Views
29 August 2025 Unguja, Zanzibar OMO - NCHI INAELEKEA KWENYE KHATARI KUBWA Othman Masoud Othman afika ofisini kwa Mufti Mkuu wa Zanzibar mheshimiwa Sheikh Saleh Omar Kabi...
1 Reactions
5 Replies
643 Views
Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
POLEPOLE ameeleza kuwa miradi ya maendeleo ya ujenzi nchini haitekelezwi ipasavyo, ukweli wa mambo unaonesha kinyume chake. Kwa mtazamo wa kitaifa, utekelezaji wa miradi mbalimbali unaendelea kwa...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilka 2021 lakini kulikuwepo na mchezo pale, yupo waziri pale aliporudi na mkandarasi alikuwa anazungumza naye moja kwa moja anaruka mpaka mshauri...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
  • Closed
WADAIWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA DAISY GENERAL TRADERS KUKWAPUA MABILIONI FEDHA TOKA BANK KUU (BoT) 4/9/2023: 21:30 HRS Western Indiana. Taarifa za ndani zinatujuza kama ifuatavyo. Genge la...
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Askofu Gwajima amerudi tena kwenye midomo ya wanaharakati baada ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya “makombora mazito”. Aliahidi wazi kuwa kama makanisa yake yangesalia kufungwa ndani ya siku 10...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia. Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa (CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia kati...
7 Reactions
90 Replies
7K Views
Ndugu zangu mi nitembeaji na utembezi wangu uko Kwa Wana ccm ambao walikuwa wanec mwaka 2015 swali kwao kweli Membe aliwai kuwa mtu mwema aliye staili uraisi?
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa sasa Polepole ameanza...
2 Reactions
6 Replies
942 Views
1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ?? Anahofia nini ? 2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…