Ushauri: Makao makuu ya mkoa wa Geita yahamie Chato

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
Habari zenu wakuu,

Mimi kama mtanganyika naishauri serikali yangu tukufu ihamishie makao makuu ya mkoa mpya wa Geita wilaya ya Chato kwa sababu mpaka 2020 patakuwa manispaa kabisa, kutakuwa na huduma zote na miundombinu ya kuwa na hadhi ya kuwa makao ya mkoa kabisa.

Hadi sasa ndani ya mwaka mmoja kuna kituo kikuu cha TANESCO cha kusambaza umeme mkoani geita kipo hapa Chato, tumeshaanza international airport yale ma airbus yakifika tu tutakuwa tunaenda yapandia Chato so kama unaenda Australia au USA unasafiri hadi Chato international airport nimeota patajengwa ikulu ndogo pia.

Kiukweli ni wilaya inayokuwa kwa kasi sana, watani zangu wasukuma changamkieni hii fursa kwa kuwekeza mapema kabla wachagga na wakinga hawajafika hapo.
 
Na Soon kuna Mtakatifu atatokea chato...Kama anavyoamini kuwa yupo Perfect kwa kila kitu...
 
Yani kabisa kwenye mikutano yao huko unaweza kuta mjumbe anatoa hii hoja (ya kuhamishia makao makuu Chato)na akashangiliwa na kuungwa mkono..!!
Sifa za kijinga.
 
Habari zenu wakuu,

Mimi kama mtanganyika naishauri serikali yangu tukufu ihamishie makao makuu ya mkoa mpya wa Geita wilaya ya Chato kwa sababu mpaka 2020 patakuwa manispaa kabisa, kutakuwa na huduma zote na miundombinu ya kuwa na hadhi ya kuwa makao ya mkoa kabisa.

Hadi sasa ndani ya mwaka mmoja kuna kituo kikuu cha TANESCO cha kusambaza umeme mkoani geita kipo hapa Chato, tumeshaanza international airport yale ma airbus yakifika tu tutakuwa tunaenda yapandia Chato so kama unaenda Australia au USA unasafiri hadi Chato international airport nimeota patajengwa ikulu ndogo pia.

Kiukweli ni wilaya inayokuwa kwa kasi sana, watani zangu wasukuma changamkieni hii fursa kwa kuwekeza mapema kabla wachagga na wakinga hawajafika hapo.
Angewaagizia deodrant kwanza.

K
 
Back
Top Bottom