Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za...
Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana.
Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi...
"Tuna mpango maalum wa kufanya mtoto wetu wa Kitanzania, akifika darasa la Tatu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu bila shida ili aweze kwenda vizuri madarasa ya juu." - Mgombea Urais wa CCM, Rais...
Kwenye kesi mshitakiwa ndie huhitajika awalete mashahidi wake yeye mwenyewe sio kazi ya mahakama au serikali mfano katika kesi ya Mahalu kama mshitakiwa alisema shahidi wake Raisi Mkapa .na...
Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao...
Hakuna kidumucho milele
Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia.
Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo...
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza...
Wakuu,
Jana ilikuwa inatembea clip mitandaoni ikimuonesha Diamond akisema Watanzania KILA AWAMU MNALALAMIKA
Hii ni March 2018 jamaa alikuwa analalamikia ngoma zake kufungiwa na BASATA...
Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka.
Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na...
Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na...
Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama...
Wakuu mambo ni MAZITO sana sana.
Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais.
Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli...
Upanuzi wa Marufuku ya Kusafiri kwa Misri, Tanzania, Zimbabwe, Dominika, Saint Lucia, Bhutan na nchi nyingine 30.
Jumapili, Juni 15, 2025
Marekani imependekeza upanuzi mkubwa wa sera yake ya...
Hii ni hospitali binafsi iko opposite na Mount Meru-Arusha, kwanza kukaa mkabala na mount Meru ni kimkakati kupata wateja. Haya mahospitali hayana madaktari walioajiriwa wanategemea madaktari wa...
Hii kampeni ya Yanga nyuma yake lipo jambo zito, lengo lao sio kupata hivyo vijisenti vyako, lengo ni kuitumia kutakatisha fedha kisha club kupata mgao wa mabilioni.
Kuanzia kwenye dirisha dogo...
Tundu Lissu ni nani?
Ni nuru katika mwanga wa haki.
Hakuzaliwa Tanzania ili auze sura.
Alikuja hapa kuamsha kitu kilichosahauliwa ambacho ni Haki.
Si mwanadamu katika maana ya kawaida.
Yeye...
Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa...
WASIRA: KWA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA DK. SAMIA ANASTAHILI KUCHAGULIWA AENDELEE KUONGOZA.
Na Mwandishi Wetu,Babati
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.