Wabunge wasipewe kiiunua mgongo mpaka uchaguzi uishe

Hawa matapeli wa kisiasa wanatumia hela hizo kuonga wajumbe washenzi na ndeshe ili kushinda uchaguzi wa ndani na wa nje!!!
Hii imekaa powa
Kiinua mgongo itafsirike ni kwa mbunge ambaye amestaafu ubunge
Hivyo kiinua mgongo kingetolewa kwa yule ambayo hagombei au ameshindwa ktk Uchaguzi
 
Sema hawa jamaa ni matapeli ya wanajipendelea
 
Back
Top Bottom