Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

E-GA ni taasisi inayoratibu serikali mtandao, ni taasisi ambayo inajenga mifumo karibu mingi sana inayotumika na serikali. Serikali imeokoa pesa nyingi sana kutoka nje ya nchi na imetoa ajira kwa...
38 Reactions
236 Replies
24K Views
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya. Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari. Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha. Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio...
30 Reactions
127 Replies
13K Views
MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Rais naamini upo kwaajili ya kutetea maslahi ya watu wa nchi hii. Uliamua watumishi wote waliotolewa kazini kwa matatizo ya vyeti walipwe stahili zao. Napenda kukufahamisha kuwa hadi leo hii...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima...
18 Reactions
100 Replies
8K Views
Habari, nawasalimi kwa jina la muungano...... Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kumkataa mtoto kumpokea ikiwa tu hajamaliza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuanzia Marangu Mtoni hadi Rombo Tarakea wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta. Wanaoelekea njia hiyo wahakikishe wamejaza mafuta ya kutosha. Magari yamepaki njiani Mengi inabadi watu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge wa Ngorongoro (CCM) Emmanuel Lekishoni Ole Shangai ameandika kwamba maisha yake yapo hatarini na kwamba imeagizwa auwawe kwa amri kutoka kwa RC wa Arusha na DC wa Ngorongoro “Naomba...
19 Reactions
84 Replies
10K Views
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu Kwa niaba...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika. Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JKT ulituambia kuwa jeshi hilo ni muhimu katika kukuza vijana kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao. Kauli hiyo inatofautiana na kile kinachoendelea kambi ya...
5 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka...
2 Reactions
2 Replies
721 Views
Manispaa ya Morogoro (Morogoro mjini) ni mji wa zamani kidogo hivyo hata baadhi ya miundombinu iliyowekwa zamani imeshachoka ikiwemo miundombinu ya maji hasa hasa hizi meter (dira za kusoma...
0 Reactions
4 Replies
814 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2020/2021 ilikuja na wazo zuri la urasimishaji wa Makazi Holela kwenye Majiji na miji mbalimbali. Wananchi wengi walijenga nyumba kwenye mashamba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Nimekusanya taarifa za kiuchunguzi katika mikoa mbali mbali hasa inayolima ndizi. Baada ya ujio wa upandaji miti ya mbao aina ya patula pine (pinus patula) nimegundua vitu vingi vimeanza...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom