Heparin
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 127
- 420
Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka husika.
Maji yanayotoka ni machafu sana ambayo pia ni hatari kwa afya zao. Mamlaka zitazame suala hili.
Maji yanayotoka ni machafu sana ambayo pia ni hatari kwa afya zao. Mamlaka zitazame suala hili.