Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo 8/10 Mzee Warioba ambaye ndiye Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine, amefika chuoni hapo ili kushiriki Mahafali Akionekana Mwenye Afya njema aliyejaa bashasha, Mzee huyo kiboko ya Wauaji...
15 Reactions
53 Replies
637 Views
Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni. Mwamba Ruto...
3 Reactions
33 Replies
307 Views
Hawa wote ni Haramu na sio Halal
3 Reactions
8 Replies
140 Views
Mama Samia akiapishwa 2021. Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake? Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief...
8 Reactions
112 Replies
1K Views
Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "Mimi...
8 Reactions
51 Replies
624 Views
Wizara haina muda na utekaji Wizara haina muda na mauaji Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake...
5 Reactions
8 Replies
115 Views
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili. Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne. Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima...
4 Reactions
20 Replies
285 Views
Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja...
6 Reactions
10 Replies
414 Views
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na...
11 Reactions
56 Replies
804 Views
Kwa mapana yake Tulipotoka Tulipo na tuendako Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania...
16 Reactions
119 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa NB: unaweza kutaja sababu 1. Tanganyika 2. Tanzania Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
10 Reactions
104 Replies
2K Views
Jalalani, ameshasahau alivyojidhalikisha kwenye uso wa dunia! Mjinga ndiye atamsikiliza
2 Reactions
20 Replies
323 Views
Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio...
5 Reactions
141 Replies
926 Views
Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
Tunapoelekea kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokowe na mashujaa wetu tunatakiwa kutathmini makundi haya ya wanaharakati wa mitandaoni. Kama raia ninayeamini katika mabadiliko, haki, na uwajibikaji...
-1 Reactions
3 Replies
68 Views
  • Featured
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za...
9 Reactions
78 Replies
1K Views
February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati...
14 Reactions
556 Replies
108K Views
08 October 2026 Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc Tanzania na nchi za Afrika na...
0 Reactions
3 Replies
52 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…