Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Sep 19, 2010
9
459
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa ni Rostam na Edward.Amepotoka.

Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.

Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!

Richmond haijaletwa na Rostam wala Edward nchini. Wewe unafahamu vyema jinsi JK alivyocheza dili la Richmond kishamba akishirikiana na Gire baada ya mazungumzo yao huko U.S. Baada ya mambo kuharibika ndipo Rostam na Edward wakashirikishwa. Unafahamu vizuri role aliyoicheza rostam kuhakikisha angalau dowans inazaliwa ili kumwokoa JK. Ya lowassa kujiuzulu unayafahamu vizuri sana sitaki kuyazungumzia kwa sasa.

Sitta hakuwahi kuwa rafiki wa Harrison hata siku moja. Alimtumia tu ili kutimiza malengo yake ya kumwondoa Lowassa kwenye nafasi yake. Wewe ndiye uliyekuwa ukiwachonganisha mara kwa mara JK na PM wake Lowassa. Hata nafasi ya nje uliipata kwa jungu kubwa na la ustadi wa hali ya juu ulilochezewa na vijana wawili wa usalama wa taifa kwa kumchafua Lowassa. JK akaanza kukuamini. Ulicheza vizuri karata kwani ulijua fika jinsi gani sitta alivyomchukia Rostam na Lowassa kwa yale waliyomtendea ili asiwe PM na kwa ustadi wa hali ya juu ukamshawishi Sitta alitumie bunge ili kumwadhibu Lowassa.

Mwakyembe ana ugomvi wa siku nyingi na Rostam hata kabla ya JK kuwa rais. Alitumia nafasi hiyo kumnyonga Lowassa na rafiki yake Rostam na kwa bahati mbaya akakiri ndani ya bunge kuwa kuna machafu mengi yameachwa ili kunusuru heshima ya serikali. Kosa kubwa sana kuwahi kufanywa na mtu aliyepitia idara ya usalama wa taifa. Unafahamu vyema kuwa hili kosa ndilo linalomgharimu Harrison huko Appollo. Baada ya Lowassa kuangushwa, ulikumbatiana na Mwakyembe, Rais akawapongeza, mkafurahi, mkabweteka na kumwamini JK. Kosa la pili kubwa.

Kwa bahati mbaya sana ukaungana na Mwakyembe, Mengi, Sitta, na wafuasi wake kwa ajili ya kuutafuta urais tena kwa kumtumia mwanaye Ridhiwani. Hili ni kosa la tatu kubwa kwani ulichanganya kwenye kundi lako watu wasio marafiki wa JK ambao kwa hakika wata-demand umburuze JK mahakamani pindi utakapokuwa rais.

Rostam-JK-Lowassa

1. Hawa ni marafiki wakubwa ambao licha ya wawili kuwa nje ya serikali lakini wote watatu wanaendesha serikali na hawasiti 'kuwanyamazisha'' wabaya wao wanaogusa interest zao. Individually wanatofautiana ila wakiwa watatu ni wamoja. Membe naomba ufahamu hili.
2. Wewe ulimtaka Sitta awe spika kwa mara nyingine tena. JK alimtaka Sitta pia lakini katika kikao cha watatu akakubaliana na pendekezo ingawa kwa shingo upande la Anne kuwa spika.
3. JK atakuwa safe kama Lowassa akiwa rais. Hatakuwa safe endapo mmoja wenu atakuwa rais. Anafahamu hili fika.
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015. Wakati wa kujadili, wewe na Mwakyembe mko tayari kusema ukweli. Ili kuwazima, Mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually
5. Ndani ya CC iliyopita zilipigwa kura za siri ili kumfukuza Lowassa uanachama. Kati ya wajumbe 32, 19 walimsupport Lowassa na 13 kwa JK!.Hapa wanaonekana ni wapinzani ingawa wakiwa watatu ni wamoja.
6. JK anaweza kukusikiliza na kujifanya mko pamoja naye. Lengo ni kutaka kujua what's going on in your group ili wawamalize vizuri.
7. JK hakumtaka Bilal, lakini umoja ukalazimisha ndiye awe makamu wa rais. Mkapa alitumwa bila kuelewa.
8. Hawa watatu kwa pamoja walimteua Mkama. Wewe hujui hilo ingawa mwenzako Chiligati alishastukia!
9. Membe unafahamu ya kwamba kujivua gamba ni hoja iliyoletwa na Rostam kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha watatu hao ili game iishie bungeni kwenye kujadili Richmond upya? Symbion iko nchini Membe. Unajua kaileta nani?. Je, nani kamleta Mama Clinton nchini?
10. Membe muulize Mwandosya akwambie jinsi watatu hawa wanavyomtesa. Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
etc, etc, etc, etc

Ushauri wangu kwa Membe:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person
 

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
886
Hii kali sana, tumeipata na kwa hili basi Membe is a dead meat, nainamaana both Harrison na Mark are gone, hakuna cha Apollo wala nini, pole Tanzania ndio matokeo ya unafiki, besides simuona Membe kama an intelligent person kwa kweli, after all nasikia hata huko usalama hakuwa mtu mkubwa wala hakuwa anaheshimika kiasi hicho kamwa walivyokua wakina Kitine, makubwa natumaini amekupata na imeingia akilini, inabidi arudi kwenye drawing table
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,445
attachment.php

ukinogewa kula b ila mpangilio unakua kama mtoto mdogo
269071_252108698138204_100000172265800_1269805_6999157_n.jpg
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,445
lol! hii imeshinda hata ubwabwa tuliokula kwenye kampeni za igunga!
ndio hivyo tena

wamekula weeeeeeeeeee, sasa wameingia kwenye masufuria wamejisahau chakula kimechafuka na wameanza kupakuana kama mbona au ubwabwa

nakumbuka hadithi ya darasa la kwanza "KULA MNO NI HASARA"

Manenge na mandawa... tumbo niachie nimwachie mandawa kidogo.......
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,551
774
Mtu mzima hatishwi nyau

I've stayed out of this Lowasa and his clown episodes lakini naona sasa gloves are off....

This Lowasa guy had his time and its up...he doesnt matter anymore japo watu wake hawataki kumwambia kuwa aanze kuangalia mambo mengine

In short Lowasa you are out of the GAME na watu wana move on without you.

Other than small glitches za kuto update website ya foreign Membe has served this country honourably compared to huyu fisadi Lowasa ambaye all he thinks about 24.7 ni kuukwaa urais wa Tanzania. If anything, kama alivyo huyo chief propagandist wake mpya (BALILE) I suspect kuwa Lowasa kaanza ku suffer from the WALTER MITTY SYNDROME kama aliyo nayo Balile. Uzuri hapa JF we can smell B***t a mile way.

So far Lowasa has convinced himself that if he reminds us about his old gone by days as former premier and how UNFAIR life has been to him tangu ajiuzulu, we'll forget about his incompetence, deceits, duplicities, dishonesty, downright lying, bullying, cowardice, legendary volcanic temper tantrums, vanity, sulking, unjustified sense of entitlement, betrayal, bungling and boasting in both public and private functions.

Ssasa mliotumwa nendeni mkwambie huyo lawasa kuwa if anything sisi kama wana JF na wa Tanzania kwa ujumla we've overcome with emotion, empathy, sympathy and admiration that weve never overlooked the fact that this is THE MAN ALIYELIINGIZA TAIFA KWENYE GIZA , who shamefully sold out our sovereignty to unaccountable foreign element, flogged off our resources to the lowest bidder, destroyed the little esteem we had left as a nation.

Chonde chone wewe unayejiita "htaki nataka" elewa kuwa some of us have memories longer than a dragonfly's. and be very careful of what you wish for.

The difference between Lowasa & Membe ni kuwa tofauti zao ni sawa na Usiku na Mchana. And the is that Lowasa hasn't got a 'story' which comes anywhere close not only to JK lakini to Membe.
Just like JK, Mheshimiwa Membe is the son of of an ordinary MKULIMA, who rose from poverty to become one of our best foreign ministers. He has a proud record of political integrity and has never been afraid to put the interests of this country first.

Jambo ambalo nyinyi mnautumwa na huyo Lowasa ni kuwa lazima muelewe kuwa wa Tanzana si wajinga and unlike Membe & JK, huyo bosi wenu Lowasa HASN'T REALLY GOT A STORY!!!!! - aside from being ridiculously rich and and of course being a HOT HEADED prime minister which does not entitle him any sympathy from us!

He's never had to struggle, like Member, or endure, like JK. No one could accuse Lowasa of having any political integrity, or being a maverick. Or standing up for ordinary people. He's never even had a proper job na hapo hatujasahau Mwalimu alipomuuliza a justify his wealth at a tender age kule Dodoma.

Wana JF msitishwe na hawa ma bwana wadogo kwani we all know kuwa if anything yeye na team yake wamekuwa ATTENTION W*****S na ushahidi wa threads za Lowasa humu unajionyesha wazi. He seems to have been born believing it was his destiny to become Tanzanian's President. He spent 5 years in a petulant sulk because JK let him, and then, having got the Premiership, had no idea what to do when he got there.
Unlike Membe and JK, bwana Lowasa didn't go out on the stump, glad-handing voters in villages, travelling thousands to meet with the REAL people and listen to their needs and aspirations
.
He didn't have to go through a gruelling primary season to become PM. His 'campaign' involved a bit of boasting to a few audiences chosen from his crew of which resembles Tony Sopranos at the Badabing. Lowasa didn't even face an election.

When he has been forced to come face to face with the electorate who had to pay the price for his RICHMONDULI - he's been humiliated. For someone who considers himself the heir to SOKOINE, he has reduced CCM to a hated rabble, less popular than before and led Tanzania into what his own by then energy minister describes as the worst power ration since Uhuru
.
In short mtu akisoma hizi kampeni za kumchafua JK na Membe anazofanya Lowasa kwenye both print and electronic media ni simple....huyu bwana is ASKING NOT WHAT HE CAN DO FOR HIS COUNTRY, BUT WHAT HIS COUNTRY CAN DO FOR HIM!!!

That is Edward Lowasa's story.

So spare us the ngonjeras, old son. We're not interested.


 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,445
aisee.............

That is why we love JF!!! I must admit kwamba i couldnt agree more with Slider on EL, his a goner and past is always a past

But on Membe!!!!??? i will never agree with you, you need to separate two things uadilifu and a leader. Member could muadilifu, but he is never a leader IMO

Where is my pack of embassy light
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,531
5,357
Mtu mzima hatishwi nyau

I've stayed out of this Lowasa and his clown episodes lakini naona sasa gloves are off....

This Lowasa guy had his time and its up...he doesnt matter anymore japo watu wake hawataki kumwambia kuwa aanze kuangalia mambo mengine

In short Lowasa you are out of the GAME na watu wana move on without you.
When you talk about selling our resources/country to the lowest bidder mbona kama vile unamzungumzia Kikwete? Unaikumbuka ile cable ya wikileaks ambako Kapuya alivujisha siri za jeshi letu kwa balozi wa Marekani? Ukiongelea uozo wa Lowassa, Kikwete hayuko mbali sana.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
if u cant find ur precious pack, i have bhangi here. there, just one puff shld be enough...
aisee.............

That is why we love JF!!! I must admit kwamba i couldnt agree more with Slider on EL, his a goner and past is always a past

But on Member!!!!??? i will never agree with you, you need to separate two things uadilifu and a leader. Member could muadilifu, but he is never a leader IMO

Where is my pack of embassy light
 

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
243
Kampeni za humu jf wakati mwingine zinafurahisha.

Look, what's the ****ing campaign this guys trying to make here @jf. Today you'll hear a Lowassa's supporter posting explaining the capability of the guy, tomorrow you hear another one from the Lowassa's opposition in the same party talking about the incapability of the guy before you even go to bed you'll hear a youngboy Nape talking about people he doesn't even mention their names kwamba in the party their is those wanted the party to lose the Igunga election ili waheshimiane. yaani hata hatulali na hawa jamaa.

Kitu ambacho kimenitaouch here is 'who brought Clinton' in Tanzania? Kuna siri nzito sana kwenye hili jambo la richmond, mtoto wake dowans na mjukuu wake Symbion. Mama Clinton alipokuwa nchini aliwasifia sana symbion kuwa tz now will 4get the issue of umeme, damn't.
 

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,667
wakati mwingine unaweza kuamini kabisa kuwa TZ imefikia kama Sicily Italia enzi hizo... rejea masimulizi ya Mario Puzzo

Yani kama movie based on true story the THE LAST DON.Anyway nadhani ndio maana kumbe tuko hivi,manake BASI hii ni hatari na SICILY ni DAR ES SALAAM.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

74 Reactions
Reply
Top Bottom