Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameitisha Press Conference, ana ushahidi... Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Nyaraka za Kagoda: Msemakweli akataa kuhojiwa na Kamati ya EPA; Ahoji mamlaka yake Kwanini DPP...
69 Reactions
463 Replies
55K Views
Hawa wafanyabiashara wanaousapoti Ccm sio kwa Bahati Mbaya. Kuna mambo mawili. -Kuweka mazingira sawa ya biashara zao. - kuendelea kushikililia Uchumi zaidi na kukua kibiashara. Na mwisho...
0 Reactions
3 Replies
358 Views
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali...
91 Reactions
469 Replies
38K Views
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi. Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana...
26 Reactions
127 Replies
10K Views
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
6 Reactions
21 Replies
1K Views
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mheshimiwa Rais Kwa heshima kubwa napenda kukuletea salamu za dhati na kukupongeza kwa dhamana kubwa uliyopewa na Katiba ya...
0 Reactions
2 Replies
468 Views
Karibuni katika tamasha la Rolls Royce Dar es Salaam. MAHALI: Coco beach, TAREHE: 29 Oktoba 2025, MGENI RASMI: Mheshimiwa Haji S. Manara.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni...
0 Reactions
5 Replies
426 Views
Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu! Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika! Eti tuchagueni tutaleta katiba!
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Na hiyo itakua ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwamba Tundu Lissu atakua hana tena haki na atakua amepoteza kabi fursa, sifa na vigezo vya kisheria kugombea nafasi hiyo nyeti kitafa.🐒...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Kwa ufupi huna mpya. Vuguvungu la uchaguzi ndilo linakubeba mpaka jamii inakuona una madini. Uchaguzi ukipita hutakuwa tena na maana mbele ya Watanzania. Tengeneza app sasa hivi walipishe hawa...
-1 Reactions
4 Replies
341 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu...
0 Reactions
6 Replies
508 Views
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa. Lakini baada ya Polepole kuelezea...
86 Reactions
225 Replies
9K Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Kuna watu wanatolea mfano wa kushindwa kwa sera za Mwalimu Nyerere kwa kuhusianisha na DUKA LA KAYA. Enzi hizo wengine tulikuwa tunakimbizana na magari ya "Ugawaji" kwenye kila duka wanalosimama...
7 Reactions
108 Replies
12K Views
Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge...
1 Reactions
0 Replies
271 Views
Wakuu, Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…