GE2025 Ibrahim Shayo aahidi kutokomeza changamoto ya taka Moshi Mjini

GE2025 Ibrahim Shayo aahidi kutokomeza changamoto ya taka Moshi Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
419
Reaction score
553
Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini , kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Shayo amezungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Kampeni za ubunge wa jimbo hilo uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi.

Ibrahim Shayo maarufu kama Ibraline ametoa ahadi mbalimbali kwa Wananchi wa Jimbo la Moshi Mjini ambazo atatekeleza iwapo atapata ridhaa ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo.

Uchaguzi mkuu wa kuchagua wagombe wa uraisi,ubunge na udiwani utafanyika oktoba 29 2025.

 
Back
Top Bottom