tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakulima wa Tumbaku nchini kuwa Serikali iko kwenye hatua za mwisho kuhakikisha madai yao ya muda mrefu yanalipwa.
Soma pia: Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia
Chanzo: ITVDkt. Samia amesema jitihada za serikali kupitia Wizara ya Kilimo zinaendelea kuhakikisha kampuni mbili zinazodaiwa fedha za wakulima zinalipa stahiki hizo.
"Niwapongeze na niwashukuru wakulima wa Tumbaku… mmeongeza uzalishaji na Tanzania sasa inauza Tumbaku kwa kiasi kikubwa, kwahiyo niwapongeze sana, na lile suala la mikopo na wakulima kuchelewa kupewa fedha zao halipo tena, niwapongeze sana "Dkt.Samia Suluhu Hassan -Mgombea Urais CCM.
Soma pia: Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia
Chanzo: ITV