Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema:
Katika mwaka 2023/24...
TATHMINI YANGU MIKOA 10.
.
Mimi kama msanii, Namshukuru Mungu, naishukuru CCM kupitia Mwenyekiti wake na Mgombea Urais, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa nafasi...
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa...
Huwa ni jambo la kawaida kuwaona wasomi wa mikoa ya kanda ya kaskazini au nyanda za juu kusini, huko tayari serikali iliwekeza na inaendelea kuwekeza sana tu kielimu.
Ila nikionaga msomi katokea...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda kupitia chama cha CCM, DKT. Jafari Seif, amezindua rasmi kampeni zake akitangaza ajenda kuu ya kuimarisha miundombinu ya barabara na huduma za afya.
Katika...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kuwachagua viongozi ngazi ya Udiwani, Ubunge na Urais, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, vijana Mbeya Mjini, wametakiwa kuacha kujihusisha na siasa za...
Mtu anayeshabikia watu kuonewa na vyombo vya dola anaweza kuitwa kwa maneno mbalimbali kulingana na muktadha na nia yake. Hapa ni baadhi ya maelezo au majina yanayoweza kumfaa mtu wa aina hiyo...
Mmoja wa Viongozi wa Dini kutoka Manispaa ya Kigoma amesema wameshuhudua mabadiliko makubwa Mkoani humo tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka.
Ametaja miradi mbalimbali iliyotekelezwa na...
Mgombea Ubunge Jimbo la Uyui kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Shafini Sumar akiongea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Uyui kata ya Mabama Wilayani humo amewaomba Wananchi...
Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda.
Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda...
Mhhhh! mgambo nao wanapewa rugu sasa kufanya wanachoweza na hivi hawa jamaa wanapenda sifa tutayaona mengi. Maana nakumbuka mama ntile walivyokuwa wanapata shida kutoka kwa mgambo na kumwangiwa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sasa imekuwa ni kama kawaida tu. Kwamba, tunatumia maneno bila kujua hasa tunachomaanisha na hatujali sana madhara ya kutumia maneno hayo bila kumaanisha tunachotaka...
Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro na mwanasiasa mkongwe, Christopher Olesendeka, amesema wagombea wa Urais wa Tanzania kutoka vyama vya upinzani hawawezi kulinganishwa na mgombea wa CCM, Dkt. Samia...
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo September 16, 2025 imehairisha Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi September 18, 2025 ili upande Jamhuri uanze kujibu hoja za...
Balozi wetu nchini Sweden kwanza habari za Stockholm? Najua unayaona yanayoendelea nchini Tanzania na walio wengi wametoa maoni yao juu ya kinachoendelea hapo kwetu Tanzania
Maoni ya wadau ni...
Ndugu Mpina, tumia akili. Kama hujapewa dau ili ugombee urais kuhalalisha uchaguzi feki wa october basi fahamu tu kuwa wenzio ndani ya ACT wanakutumia kwa maslahi yao.
No doubt ACT imeamua...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimeahidi kuweka mfumo wa uwazi na kudumu wa usimamizi wa miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) ikiwamo migodi, iwapo kitachaguliwa kuongoza nchi...
Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa
Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea...