Tujue Daktari Wilbroad Slaa ana lipi moyoni juu ya Lissu kushambuliwa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,185
2,000
Balozi wetu nchini Sweden kwanza habari za Stockholm? Najua unayaona yanayoendelea nchini Tanzania na walio wengi wametoa maoni yao juu ya kinachoendelea hapo kwetu Tanzania

Maoni ya wadau ni mengi kusema kweli na kila mtu analizungumzia suala ili anavyohisi

Tukianza na muhanga mwenyewe bwana Lissu anaamini kabisa kwamba serikali inahusika kabisa katika shambulizi hili juu yake na amehusisha kitendo hicho na kauli za mheshimiwa juu ya wasaliti wa Taifa na akaenda mbali kusema kwamba hatua za msingi kuhusu upelelezi wa shambulio lake zimefanya kisisasa zaid,
ametuhumu kwamba alifuatiliwa na gari mara kadhaa na akataja namba za gari hilo lakin serikali ikapuuzia mpaka ya kumkuta yalivyo mkuta,

SASA MBALI NA MAONI YA ALIYESHAMBULIWA LAKIN WATU HUKO SITE(TANZANIA) WANASEMA YAFUATAYO
1.Wafuasi wa CCM wao wamegawanyika mara mbili kuna ambao wao pamoja na kusapot kazi kubwa ya mheshimiwa rais lakin hawajaridhika na namna suala la Lissu linavyoshughulikiwa,
wamelalamika kwamba pamoja na Lissu kwenda nje ya nchi bila kibali angalau serikali ingemtibu tu isitumie kutofuata utaratibu wa bwana Lissu kama fimbo ya kumchapa,
2.Kuna wafuasi wa CCM ambao piga ua wanaamini shambulizi ilo limefanywa na chama chake kwa sababu ambazo wamesema wao eti kwamba
a) Ni figisu za CHADEMA kila ifikapo miaka ya uchaguzi wa mwenyekiti , kwa kuwa pale kuna mwenyekiti wa kudumu kila liibukapo suala ilo linaondoka na mtu, wakaendelea kueleza sintofahamu zao kwamba kwanini Mbowe alionekana kuhaha sana na kuwa na wasi wasi baada ya shambulio,
c) walimshambulia katika mazingira tata ili serikali ichafuliwe kimataifa na wananchi waamini kwamba serikali ni mbaya na msemaji akaendelea kusema kwamba kuna kipindi mbowe aliwahi kuwaweka rehai ZITTO na wewe DR kikaoni usiku na akaagiza watu wawamalize lakin kwa nahati nzuri mkaushtukia mtego, jamani wanasema wao si mimi,
3)Kuna wafuasi wa CCM wanaoamini kwamba inahusika serikali ndo maana hata mkulu hajatoa tamko lolote juu ya shambulio, hivyo wanasema alistahili kushambuliwa kwa sababu ni msaliti wa taifa, na amekuwa aki side na wazungu kila muda mpaka kwa mwanyika akiomba baadhi ya nyaraka awasaidie wazungu, wakasema anastahili adhabu hiyo
4)Kuna ma intelijensia ambao wamesema njia hiyo huwa inatumika kuwaogofya wengine , wanakufanyia mbaya hawakuui makusudi ili urudi usimulie na alama ibaki maana ukifa unasahaulika mapema kama kina Mawazo, au wengine, japo wamekataa kusema kama serikali inahusuka ama lah,
5) Hapa kuna wafuasi wa CHADEMA hawa moja kwa moja wanaituhumu serikali kwa kuwa mazingira yote yana thibitisha ushiriki wa serikali wasemavyo wao, wanasema kwamba siku ile hakukuwa na ulinzi makusudi, siku ile camera ziliondolewa na gari lililotajwa kumfuata Lissu halijafuatiliwa
6) kuna CHADEMA wanaosema kwamba wenda hata chama chao au uongozi unahusika kabisaaa maana wanajua mengi yanayoendelea chamani kwao,
7) Wachambuzi nguli wa JF kama Pascal Mayalla wanalizungumzia suala ili kwa kuzunguka zungua kama vile kuna jambo wanajua ila hawataki shida za kueleza mambo
8) Mbunge wa kigoma mjini Zitto naye anaamini kwamba serikali inahusika kwa asilimia zote ila kuna wanaompinga bwana zitto kwamba uwenda anayosema hayatoki moyoni maana anaogopa kufukuzwa ndani ya UKAWA ambayo ameruhusiwa kujiunga juzi juzi,
9) Nape Nnauye yeye analaani kitendo hicho cha kumshambulia Lissu ila hajataja anamhisi nani,
10) wakati Mwigulu Nchemba akionesha kusikitishwa na tendo ilo na kulaani vikali mashambulizi hayo

je mheshimiwa Balozi una lipi la kusema?

maana sababu zote ambazo kila kundi limetaja naona kama vile ungekuwa chadema nawewe zilizo nyingi zingekuangukia maana kazi yako ya uanaharakati inajulikana , umekwepa mishale mingi mno,

unaongeleaje suala ili
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,185
2,000
Slaa is no more an independent thinker, tupa kule with regard to independent thinkers. Do you expect him to say something contrary to Jiwe?
Why ?? is it necessary for every one to say something contrary against JpM? May be he will say something contrary against others concerning with this case
 
Mina cute

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,144

We siulisema mbowe ndio kamshambulia, we kaka ni bure kabisa
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,136
2,000
Akili za huyu babu alizishika demu wake
zilizobaki zikabebwa na njaa
Katika maisha kila mtu ana falsafa zake kuanzia

Kila mtu kuna mambo anayaamini ni sahihi kwake na mengine siyo sahihi kwake, Siyo kila uonalo wewe sahihi lazima kila mtu akubaliane na wewe

DR Slaa aliishi falsafa zake tangu akiwa padre na kuamua kumulika siasa, Hata alipokuwa Padre ni moja ya watu waliokuwa na akili sana katika kuandaa ripoti za kanisa

Yanayotokea sasa DR Slaa hawezi kuongea tena kwani falsafa alizokuwa anaziamini ni sahihi hakukubaliana na baadhi ya watu 2015 ya yeye kutogombea URais wa Tanzania

Hata leo hii January Makamba au Mwigulu Nchemba na Nape tayari wamehama kifalsafa waliyoyaona sahihi leo wanaona siyo sahihi

Kikubwa kwa wanasiasa wa Africa hawawezi kusimamia kile wanachokiamini, Labda ni uwoga wa kujiuzuru au kuachia ngazi ndio tatizo

Dr Slaa yeye aliyoyaamini sahihi leo hawezi kuyaongea labda aachie ngazi ya ubalozi

Hata Nape au January kama Demokrasia ingekuwa pana basi wangeweza ongea uhalisia wa nini kinaendelea lakini siasa za vitisho baadhi ya nchi za Africa ni tatizo kubwa
 
UMESEMA VYEMA KABISAA comment iko mature
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
Dr Slaa amekua CDM kwa miaka mingi na amekipigania sana chama, pamoja ni sarakasi walizomfanyia 2015 naamini moyoni bado ni mwanaharakati, ni vile tu umri umeenda na watu wenyewe aliokua akiwapigania walimgeuka, kumtukana na kumtupa nje as if he was nothing! ili tu kumpa nafasi waziri mkuu wa zamani ambaye alikimbilia CDM sio kwakua anapenda itikadi au falsafa za chama bali ili atimize ndoto yake binafsi ya kugombea urais.
Dr. akiongea anaweza kujihatarishia mkate wake kwa ajili ya watu wasio na shukrani, ni vema akae kimya na aendelee kula kivulini, mwisho wa siku JPM anekua mwema zaidi kwake.
 
Hata maoni tu haruhusiwi kuyatoa?
 
barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,680
2,000
Daktari Slaa...mzee wangu na rafiki yangu.Ninamkumbuka sana.Mumuache apumzike.Huyu mzee alitusumbua sana chama dume...Misimamo yake iliyeyuka baada ya watu kuingiza akina mzee mvi upande ule.

Dr atabaki kuwa mwanasiasa wa kiwango cha juu sana licha ya kumaliza siasa zake mahali alipopapinga kwa miaka zaidi ya 20.Leo Dr anatumika na Polepole kwenda kusambaratisha chama alichokijenga mwenyewe Karatu kwa jasho na damu?Daah..siasa za Afrika!!
 
Mkuu CDM hawana shukrani, ukiongelea ustawi wa CDM bila kumtaja Slaa, basi historia ya CDM utakuwa huijui,

Alafu misingi aliyoiamini na kusimamia siyo inayosimamiwa na CHADEMA maana walipigwa pochi la hela usoni likawachanganya akili sana
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Daktari Slaa...mzee wangu na rafiki yangu.Ninamkumbuka sana.Mumuache apumzike.Huyu mzee alitusumbua sana chama dume...Misimamo yake iliyeyuka baada ya watu kuingiza akina mzee mvi upande ule.

Dr atabaki kuwa mwanasiasa wa kiwango cha juu sana licha ya kumaliza siasa zake mahali alipopapinga kwa miaka zaidi ya 20.Leo Dr anatumika na Polepole kwenda kusambaratisha chama alichokijenga mwenyewe Karatu kwa jasho na damu?Daah..siasa za Afrika!!
UNAZUNGUMZIA KIPINDI KILE MIKUTANO YA KISIASA INARUHUSIWA?AWAMU HII ANGEWEZA? MASHINJI KILA SIKU ANAKAMATWA WAKATI CHAKUBANGA ANAPOKELEWA NA ESCORT ZA POLISI PLUS SALUTE JUU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom