Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

Tukumbushane: Dhima, Dira na Majukumu ya JWTZ

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,362
Reaction score
39,842
20250916_051957.jpg


Niwatakie siku yenye baraka tele
 
Haya majukumu yao mawili makubwa, kazi yao kuu ya kulinda nchi na kutetea maslahi ya Taifa na kulinda katiba ya Tanzania inaonekana wameyasahau.
 
Amendment ifanyike, isomeke na kuilinda ccm.
Sasa hivi vyombo vyote vya ulinzi na usalama wanamlinda Samia,, Abdul na genge lao dogo la wahuni waendelee kuihujumu Tanganyika. Hata CCM imetekwa na hili genge.
 
Jeshi letu kwa majeshi mengine ni sawa na wanamgambo nashangaa sana CCM inavowaringia.

Nchi yetu haijawahi kupata serious Cyber attack kwenye critical infrastructure, ikitokea ndio watajua hatuna jeshi la maana
Cyber attack umeenda mbali uko kote, mfano sasa hivi, jeshi limekula roba ya mbao, wanajeshi wanavalishwa sare za chama, helikopta na mabasi yanaenda kufanya shughuli za chama, wanasukuma mabegi ya waarabu airport…Jeshi limebakwa, chaliiiiii, ndo maana wameenda kule Congo, taarifa zote zao siri, Kagame alishazipata, wakadakwa kama Balale….

Huwezi vitendea kazi vyenu mkanunuliwa na kusambaziwa na raia, yaani jeshi limebaki kuwa ni wakufanya usafi na kupiga gwaride, heshima yote imepotea. Shame on them
 
Cyber attack umeenda mbali uko kote, mfano sasa hivi, jeshi limekula roba ya mbao, wanajeshi wanavalishwa sare za chama, helikopta na mabasi yanaenda kufanya shughuli za chama, wanasukuma mabegi ya waarabu airport…Jeshi limebakwa, chaliiiiii, ndo maana wameenda kule Congo, taarifa zote zao siri, Kagame alishazipata, wakadakwa kama Balale….

Huwezi vitendea kazi vyenu mkanunuliwa na kusambaziwa na raia, yaani jeshi limebaki kuwa ni wakufanya usafi na kupiga gwaride, heshima yote imepotea. Shame on them
Atokee mtu a hack grid ya Taifa au mifumo yote ya B.o.T au afanye kitu visible
 
Jeshi ambalo askari wake wengi sio wazalendo wa nchi na wamewaachia CCM kutapanya mali za nchi jeshi gani ? Marekani wana Rais wa 47 hawajampatia demu akalie kile kiti, sisi rais wa 5B na sita tuu demu ! Halafu mijitu ilivyo mijinga eti oktoba tunatiki 😳😳😳😳😳 hivi sisi Tuna akili kweli ? Sasa ona mambo yanavyoenda hovyo !

Wana wanaiba madini, wana wanaiba hela za wananchi wanafanyia kampeni msenge, wana wanaacha kufanya miradi ya maendeleo ya wanachi wote, wanafanyia hela mambo yao.

Baada tuu ya afande JPM kwenda zake kwa Mungu, wasenge wanafanyia hela ya wananchi wanavyojisikia. Bandari yameuza, mbuga za wanyama wanafukuza wananchi wazawa wanakaribisha wageni, la kuitwa jeshi limelaza mapumbu tuu na halisemi chochote, sasa tuna jeshi au majamaa tuu yenye baka baka lakini ni hola ? Upupu mtupu !

Ninawashukuru wanangu wa JWTZ kwa kulinda mipaka, hatuna vita ila mjue hatuna amani. Nchi hii ya Tanzania ipo mikononi mwenu, Msiwaachie hao wakuda wa kuitwa wanasiasa waiharibu simamieni vilivyo, tunaelewana ?

Yaani mwanasiasa akisema usenge, sio lazima jeshi liutekeleze eti kisa mliapa kutii kila kitu hata kama ni mavi !!! mamamamaaeeh !!!

Ona wametengeneza kesi msenge ya Lisu, kila siku ile kesi inavyoendeshwa hela ya wananchi ambayo haina hatia inatdketea BURE ! inanunua mafuta ya magari, inalipa majaji, inalipa posho askari wasindikizaji, ile migari ya Polisi inaunguruma na kutumia mafuta siku nzima .... hela yetu hiyo inateketea na hawa nyumbu wa CCM hawana hata uchungu yani duuuuhh nchi yangu 😭😭😭😭

Nina machungu ile mbaya na hii nchi, 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Ninapambana pia kuwa askari wa JWTZ, siku Mungu akanibariki nikaupata, badae nikawa kiongozi na nikawa na mamlaka, nitahakikisha hii nchi tutaishi robo tatu ya peponi. Nitakuwa dikteta kweli kweli, ili mradi mambo yaende maana huu ni zaidi ya usenge.
 
Back
Top Bottom