Leo Septemba 18, 2025, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeendelea katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, ambapo upande wa Jamhuri umejibu hoja za mshitakiwa huyo, huku...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mlezi wa Kata ya Kandawe Wilaya ya Magu, tarehe 17 Septemba 2025, amezindua Kampeni za Uchaguzi katika Kata hiyo ambapo amemnadi na...
Nimefuatilia mikutano kadhaa ya kampeni na nimeona kundi kubwa la vijana wakishiriki kikamilifu kuwasikiliza wagombea. Uwepo wao unaibua mjadala mkubwa kuhusu nafasi ya vijana katika siasa na...
Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia...
Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini na Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Selemani Bungala almaarufu "BWEGE" amesema Profesa Ibrahim Lipumba ni moja Kati ya watu wabaya Katika siàsa za Tanzania Kwani...
Bora huyu mwanamama kasema ukweli mtupu! Maana hawa wanasiasa mida hii wanajua kuzisaka kura kweli kwa njia ila wakizipata wanatokemea kabisa hadi miaka 5 ipite.
================
"sisi hatupendi...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali hoja iliyokuwa umewasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ambaye alidai...
Wanachama 453 kutoka ngome ya ACT Wazalendo kisiwani Pemba leo wamejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kiongozi wao, Ndg. Faki Ali Juma, amesema uongozi bora wa Serikali ya Awamu ya Nane...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Mwanyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoa wa njombe Bi Rose Mayemba amesema Kuwa Kuna watu wamemfata baba yake mzazi mzee Mayemba na...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo mbele ya Jopo la Majaji wa Mahakama Kuu aliomba kesi yake ya uhaini irushwe mara moja (i.e. ifutwe) ili kuzuia wafuasi wake kushambuliwa nje ya Mahakama...
Mgombea ubunge Same Magharibi Mkoa wa Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Gervas Mgonja, ametumia mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 17,2025 katika uwanja...
Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya akiwa katika Kipindi cha mahojiano cha Medani za Siasa akijibu swali la Mwandishi wa Habari Edwin Odemba ikimtaka...
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu Jumatatu ya tarehe...
Huyu Mzee Mimi namwita Mzee Leo maana umri wake analingana na Baba yangu mzazi,
Lazima niseme maana kuficha Haina Tija, Mzee wangu huyu niliyembatiza Jina la Mzee Leo yeye na Baba Sifileo wote...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni leo Septemba 18, 2025 katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.