Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe...
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Padre Mwabena amesisitiza kuwa...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya kisiasa kwa njia ya mtandao, akizungumza kwa uwazi kuhusu masuala ya demokrasia, haki za binadamu, na...
Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii...
Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume...
Salaam kwenu watukufu wanajukwaa.
Nimeona nishee nanyi kile ambacho nimekihisi katika akili yangu kuwa ni hatari kwa mustakabali wa amani ya Taifa letu.
Wakuu,hivi majuzi katika kesi ya uhaini...
Naona jamaa ameshajihakikishia nafasi mapema, hadi ameanza kupiga mikwara watu mapema
=================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda...
Kwa sasa Mpina na ACT-Wazalendo wamefungua shauri lingine Mahakama Kuu, kupinga kuenguliwa kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu 2025.
Pia soma > Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
Bi mkubwa anaendelea kutupangilia. Mimi nipo siti ya mbele kupata hizo fursa za kupata vipato
====================
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema endapo Watanzania watakipa ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuongoza nchi, serikali ya...
Mtendaji wa kata katika ya Mwandege, jimbo la mkuranga Mkoa wa Pwani, Ally Mkawa na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Luguruni B katika kijiji cha lugwadu, Shukuru Mkumba Wameingia katika tuhuma za...
Baada ya CCM kula spana za kutosha kuhusu kutumia akaunti rasmi za Seriklai ikiwemo Youtube channel ya Ikulu naona somo limewaingia. Jana Septemba 18, 2025 wakati mama akifanya kampeni zake...
Wakili Maduhu ameonya dhidi ya vitendo vya wananchi kujaribu kushindana na askari polisi, akirejea baadhi ya video zilizozagaa mtandaoni. “Nimeona video, sijui kama ni ya kweli au imehaririwa...
Hii miaka aliyokuwa anaiongoza mama ilikuwa ya awamu ya 5 ya Magufuli, mama awamu yake inaaza Oktoba 2025 hadi 2030 kwa kuchaguliwa kwa kupiga kura hapo sasa anaenda kuwa rais kamili wa...
Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka...
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje...
Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha...
Lazima nicheke kwanza 🤣! Vijana wa Kipemba wenyewe wamesema hawana haja ya kuandamana, kwani hawajui hata sababu ya kufanya maandamano hayo — “eti mnataka tuandamane ili iweje sasa?” 😏...
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.