Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza. Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Wananchi wa wilaya ya kati Unguja wamelalamikia Serikali wakidai ya kunyanganywa ardhi zao na kupewa wawekezaji. Akizungumza katika mkutano maalumu wa kusikiliza shida za wananchi, Mkaazi wa eneo...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Naona humu kuna watu wanapambana kudownload VPN ili waingie Jf kusapoti na kupigia debe wale walio ipiga pini, yaani wandeleze uchawa wao hata kwa VPN. Hizi haziwezi kuwa akili zakawaida, yaani...
13 Reactions
15 Replies
498 Views
Hivi ni kweli kabisa watu wa Ngorongoro wamesahau mateso walikutana nayo, mh napata mashaka inawezekana hawa wananchi wamepata kulambishwa asali. Lakini si sehemu ambayo CCM inanguvu kiasi cha...
0 Reactions
5 Replies
233 Views
“Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki. Tunajua biashara ni mashindano, wakati tunazalisha wengine pia wanazalisha na bei hushuka, lakini...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
“Kazi ya maendeleo itafanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mimi pamoja na ninyi wananchi. Ninatakiwa kuwa na wasaidizi wengine ambao ni madiwani wa CCM, hivyo kazi kubwa kwetu ni mwezi Oktoba...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
BAADA YA KUKIMBIA NCHI NDIO WANAWADANGANYA WAJINGA WAWE TAYARI KUFA Roma mkatoliki alishikiliwa siku moja tu akakimbia nchi leo anawaambia msiogope kufa kuandamana kwenda maandamano yaliyopigwa...
0 Reactions
13 Replies
396 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwisho wetu sijui utakuwaje, maana naona kila mahali ni wizi, uporaji na ubadhirifu. Haingii akilini uwanja ujengwe kwa Tsh. 60 Bill na miaka michache baadaye kuukarabati ugharimu nusu ya gharama...
7 Reactions
72 Replies
6K Views
Kuna taarifa za uhakika kutoka taasisi mbalimbali nyeti, wengi hawamtaki kabisa. Wanadai mtoto wake ambaye hana cheo hata cha utendaji wa kijiji, amekuwa kama ndiye makamu wake. Amekuwa anawaagiza...
6 Reactions
11 Replies
536 Views
Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK == CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi kumimaliza kero...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana...
5 Reactions
6 Replies
372 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo uliofanywa na CCM, chama hicho kinakuwa chama pekee kinachofaa kuendelea kuongoza nchi...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Kijana Musa Said Musa ametumia zaidi ya saa 15 akitembea kutoka kijiji cha Kitanda kilichopo Kata ya Mlingoti Magharibi hadi Nakapanya kumwona na kusikiliza mubashara Sera za Mgombea wa Chama cha...
0 Reactions
6 Replies
303 Views
Kamishna wa Polisi Zanzibar CP KOMBO KHAMIS KOMBO amesema Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vikosi vingine vya ulinzi limejipanga kuimarisha Ulinzi na usalama wakati wa uchaguzi na kwamba...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea na kampeni zake kwa kutembelea wananchi mtaa kwa mtaa katika Kata ya Buhanda, Kigoma Mjini...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake amesema kuwa anaifahamu Nia thabiti ya Dkt. Samia kwa watanzania na namna...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
"Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania." Amesema Dkt. Samia wakati wa Mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 23, 2025 Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Rais Samia akisisitiza kupewa...
0 Reactions
12 Replies
405 Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Rais...
1 Reactions
5 Replies
330 Views
Back
Top Bottom