Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,532
- 7,164
Wakuu
Wakazi wa kata ya Kipunguni wameishukuru serikali kwa kuwezesha ujenzi wa shule ya sekondari ya ghorofa nne ya Kipunguni B.
Wakazi hao wamemshukuru Dkt. Samia kwa kutoa Shilingi Bilioni 2.1 ili kukamilisha shule hiyo ambayo inahudumia kata ya Kipunguni na kata za jirani.
Jengo hilo la kisasa linajumuisha madarasa 20, matundu ya vyoo vya kawaida 35, matundu ya vyoo kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum 10 pamoja na miundombinu mingine.