GE2025 Zitto: ACT ndiyo imeshikilia Ufunguo wa Maendeleo

GE2025 Zitto: ACT ndiyo imeshikilia Ufunguo wa Maendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,282
Reaction score
3,961
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuibua upya Barabara ya Msimba-Ujiji ili kuwaondolea wananchi wa Kata ya Businde changamoto ya kushindwa kufanya safari zao

Zitto ameyasema hayo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Businde, akibainisha kuwa kwa muda mrefu Manispaa ya Kigoma Ujiji haijapata maendeleo stahiki kutokana na uongozi uliokuepo

Amesisitiza kuwa iwapo wananchi watamchagua kuingia bungeni katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, atahakikisha changamoto hiyo na nyinginezo zinapatiwa suluhisho, akisema chama chake ndicho chenye kufungua milango ya maendeleo kwa wakazi wa Kigoma


 
Back
Top Bottom