Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru...
33 Reactions
134 Replies
8K Views
Kikatiba maandamano sio jambo haramu kunapokuwa na sababu ya kufanya hivyo. Ni namna ya watu kuonyesha hisia zao. Kuna mwaka UVCCM wa Mbeya walitaka kuandamana kuonyesha furaha yao kwa hotuba ya...
1 Reactions
20 Replies
772 Views
Picha mbalimbali katika ukaguzi wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam SACP Murilo Jumanne Murilo leo Septemba 24, 2025 Mkoa wa Kipolisi Ilala. Kamanda Murilo ameanza ukaguzi katika...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Aibu sare za wanajeshi zinatolewa nje ya nchi kwasababu. Kuna viwanda vya nguo kama A to Z ambavyo Bill gate foundation wanatoa pesa za ili watengeneze neti za mbu cha ajabu badala ya kutoa kazi...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Hakika hii moja ya hoja nzuri sana kutoka kwa gombea urais wa ADA TADEA. ============== Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Ada Tadea Georges Bussungu...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua...
10 Reactions
98 Replies
3K Views
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unatolewa Wakala wa Uwezeshaji...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Watu wa Uyole na kwingineko amkeni, huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole lakini wakishazipata wanawasahau wananchi na badala yake ndiyo...
2 Reactions
6 Replies
301 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo Akiwa katika Mwendelezo...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Wakuu, Huyu hapa Kangi Lugola akiwa anatoa burudani kwenye kampeni zake huko Jimbo la Mwibara Aina hii ya kampuni utakutana nazo Tanzania tu
4 Reactions
19 Replies
910 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewaambia wanakigoma wakimchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Simenti ambayo inazalishwa katika Mkoa...
2 Reactions
13 Replies
508 Views
Kumbe vijana wengi tunachelewa kuoa kwa sababu ya mahari? Lakini tukipewa mahari ndio inatosha? Vipi kutunza familia? =============== Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
4 Replies
185 Views
Ni kuhusu Jimbo la Kigoma mjini. Ukweli wa ukweli ni kwamba, Zitto analihitaji zaidi Jimbo la Kigoma mjini kuliko wakati wowote ule wa maisha yake ya kisiasa, lakini Jimbo la Kigoma mjini...
2 Reactions
12 Replies
550 Views
Mwananchi kaamua kujisema bila kuogopa kwamba jamaa anajuwi kusoma wala kuandika, na Jimbo la Kigoma Mjini ni jimbo lenye viwanda kwahiyo linamtaka mbunge msomi. Na akaukubali kupiga kura kwa...
5 Reactions
7 Replies
456 Views
Wananchi wa Kijiji cha Msolokelo, Kata ya Pemba wilayani Mvomero, wameondokana na changamoto ya huduma za mawasiliano baada ya kukamilika kwa mnara wa mtandao. Kijiji hicho chenye wakazi zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Tukio la Mwalimu Felix Msila kutoa adhabu ya viboko kwa mwanafunzi wa kidato cha pili, Khatib Salim wa Shule ya Sekondari Makumbusho limechukua sura mpya baada ya uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania.
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Mimi siyo tu Mchungaji mimi ni mkuu wa dhehebu letu, naomba niwaulize nikilindwa mimi wao wanaumia nini, Mungu analinda roho zetu siyo miili yetu siwezi kufanya kazi ya kuhubiri neno la Mungu na...
1 Reactions
2 Replies
208 Views
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema wanaohoji utu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha...
0 Reactions
5 Replies
314 Views
Mgombea ubunge wa Jimbo la sumbawanga mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Aesh Khalfan Hilaly ameendelea kufanya mikutano ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi na akiwa katika kata ya Katandala...
0 Reactions
2 Replies
237 Views
Back
Top Bottom