Baada ya kuangalia tension kubwa ya kisiasa nchini na namna tulivyofika hapa basi baada ya chama cha Mapinduzi walimu hawawezi kukwepa lawama za kuharibu Nchi.
Amani iwe nanyi
Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi.
Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba...
Kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwamba Watanzania tunapaswa kupambana kupata Katiba Mpya ni kauli kubwa na yenye uzito mkubwa kisiasa.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua...
Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala...
Mmegundua kua Vyombo vya HABARI vimefuta hotuba ya NCHIMBI katika mitandao ya Kijamii?
Sasa huyo ndio NCHIMBI aliyepinga Utekaji pamoja na Mauaji. Cha Kumfanya hawana
Akili yake ni Kubwa kuliko...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa chama hicho kitayaandikia mashirikisho makubwa ya mpira duniani FIFA na CAF kwa ajili ya kuyapatia taarifa za uwepo wa magaidi nchini.
Kauli...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku...
Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
Wadau,
Nimepata data muda si mrefu.
Inasikitisha ila habari ndiyo hiyo
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi leo jumanne pale katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam amelambwa kofi...
Shehe Mwaipopo mmiliki wa makundi ya kigaidi
Kashfa ya shehe wa Dar na utenguzi
Mtangane wa Ostaz Juma na Kishk
Tamasha la bongo fleva
Vituko dhalili vya kukata miuno vya Mwandambo
Speech ya...
Hebu jaribu kidogo kufikiri hili;
KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2...
Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali...
Nauleta mjadala huu unaogusa kiini cha unyonyaji na usaliti wa kiuchumi hapa Tanganyika, ambapo rasilimali za umma zimegeuzwa kuwa mali ya watu wachache na washirika wao wa kigeni.
Nitachambua...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amewajia juu wanataaluma na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa kuendelea na masomo kama kawaida wakati mwenzao, Mhadhiri Melkisedeki Kaijage wa Chuo Kikuu...