Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nature acha iitwe nature. Kama ulishawahi sikia dunia hii ina kitu kinaitwa "Natural Laws of the Universe" ndiyo hiki sasa. Kwa ground battle ni kali sana la Oktoba Tunatiki vs Oktoba Maandamano...
4 Reactions
9 Replies
471 Views
Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema, "Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama...
1 Reactions
12 Replies
693 Views
Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi...
2 Reactions
7 Replies
448 Views
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU RIPOTI YA HUMAN RIGHTS WATCH Imechapishwa tarehe 29 Septemba, 2025 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti iliyochapishwa na Human...
0 Reactions
7 Replies
445 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kwamba unapotetea dhuluma ya aina yeyote ile basi umewakatili mamilioni ya watu kwa zaidi ya karne kadhaa. Unapokua katika jeshi lolote lile na ukatetea...
2 Reactions
0 Replies
141 Views
GT. Wazungu wanasema "You can't defeat the mass" umma ukiamua we mtawala dharimu lazima ukubali kuchutuma maana umevuliwa nguo na hutakiwi kuwa na hasira. Sasa Police wetu huwa wanajisibu kwamba...
5 Reactions
6 Replies
308 Views
Tofauti Kati ya Mwana Siasa na Kiongozi ni kwamba Mwana siasa anafikiria uchaguzi ujao wakati Kiongozi anafikiria kizazi kijacho... Hivyo akija mwana siasa kwako muulize mwana siasa , Mtoto wako...
3 Reactions
9 Replies
274 Views
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI. Mwandishi: Hilda Newton (Twitter, X) Juzi RPC wa Mkoa wa Mbeya alitangaza kupitia vyombo vya Habari kwamba Jeshi hilo limewauwa watuhumiwa watatu wakati wakijaribu...
34 Reactions
74 Replies
3K Views
Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kusimamia kaunzishwa na kujenga vituo vya maegesho ya Magari ili...
1 Reactions
5 Replies
321 Views
Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa...
2 Reactions
4 Replies
338 Views
Hii ilikuwa ni 30.09.2020 Tundu A.M Lissu akiwa mgombea Urais wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa 2020 akiingia Moshi Mjini. Watu walimsubiri uwanjani hadi usiku wa saa mbili kasoro hivi...
4 Reactions
6 Replies
346 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Wakuu kama mmetizama Zile video za Wananchi wakipambana na Uhuni wa mwendokasi na genge lao la wahuni. Polisi Licha ya kufuatia Mabomu na Risasi baridi. Wananchi Wakigoma kutawanyika, zaidi...
4 Reactions
9 Replies
515 Views
Huyu bi mkubwa ameongea heeee! hivi Huyu kabujanja ndio bwana Zitto Kabwe bila shaka? =============== Aliyekuwa katibu wa ACT tawi la mwanga kaskazini, NIMBI MUSSA KINYOTA ambaye kwasasa...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi amesema serikali ya awamu ya sita imeunda timu ya Makatibu Wakuu wa Wizara ili kufanya tathmini na...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza...
1 Reactions
2 Replies
333 Views
Wenzetu bado wanafurahia kupewa baiskeli jamani, ila wakumbuke hiyo mitano tena watasaga meno bila maendeleo maana hela ndo hizo wamenunuliwa baiskeli :Alien::Alien::Alien: ------------- Mgombea...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana. Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…