Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kushawishika na watu wenye nia ovu kuharibu amani ya nchi, kwani wanaofanya hivyo wanapo pakukimbilia
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema linawashikilia watu watatu kwa mahojiano, kufuatia tukio la kushambulia usafiri wa mwendokasi. ‎ ‎Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa...
1 Reactions
3 Replies
280 Views
Kupitia ukurusa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ameelezea sakata lililotokea la...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake itaendelea kutoa ruzuku ya pembejeo na mbolea kwa wakulima kwa lengo la kuongeza uzajilishaji wa...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Maandamano ya Gen Z kutoka Kenya hadi Morocco, Nepal hadi Peru, na sasa Madagascar, yamekuwa yakitikisa mitaa na mitandao. Kundi hili la vijana limekuwa na mada kuu tatu wanazozisukuma kwa nguvu...
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameendelea kujinadi kwa Watanzania akieleza dhamira yake ya kufungua fursa za kibiashara kwa kujenga Reli ya Kisasa (SGR) hadi Kagera...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inalenga kuviimarisha viwanja vya michezo nchini ili viwe bora na kukidhi viwango vya kimataifa...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Mnafiki Kikwete ndiye janga la taifa kabisa! katiba hatuna leo kwasababu ya hili janga. Hata Magufuli ukali wake na rushwa aliyopata ni kwasababu ya huyu janga. Samia sasa kuanzia aanze...
8 Reactions
36 Replies
983 Views
Wakuu, Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo. Kwenye...
3 Reactions
22 Replies
734 Views
Inawezekana kweli ndio walomteka Shyrose na Kumuua , inawezekana ni kweli kabisa Kwanini wafariki wakiwa mikononi mwa Polisi? Ni wazi, Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea, katika...
3 Reactions
4 Replies
365 Views
Nawahakikishia kuwa uchaguzi huu Utakuwa huru na wa haki” Glory Tausi, Mgombea Ubunge Kawe - ACT WAZALENDO
0 Reactions
5 Replies
450 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara Tv na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Manara ameondoa taharuki kufuatia taarifa zilizosambaa kuhusu hali yake ya...
0 Reactions
13 Replies
753 Views
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema kwamba Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza sheria katika maeneo ya Mahakama, akibainisha kuwa hakuna mahakama inakosa ulinzi wa...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Katika video hii, Rais wa Rwanda, Paul Kagame aliulizwa kuhusu namna ya kupambana na rushwa akajibu rushwa haiondoki kwa kusali au kuswali bali kuwa na nia hamuitaki. Hili suala la kutotaka rushwa...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
"Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za...
2 Reactions
94 Replies
2K Views
Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu . Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election...
16 Reactions
78 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila amewataka Wananchi kuwa na Uvumilivu kidogo kwani tayari Serikali iko kwenye hatua za mwisho, za Utatuzi wa Changamoto ya upungufu wa Mabasi...
3 Reactions
12 Replies
526 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Heche akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kwa njia ya Mtandao.
1 Reactions
3 Replies
383 Views
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Moshi Mjini zimepamba moto...
1 Reactions
11 Replies
425 Views
“Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia...
2 Reactions
12 Replies
374 Views
Back
Top Bottom