Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,164
Reaction score
35,609

Attachments

  • SSYouTube.online_WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI_720p.mp4
    84.8 MB

View: https://m.youtube.com/watch?v=Mrbya2KDO74

Kama ilivyoripotiwa mnamo Oktoba 2, 2025, Waziri Mkuu wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa ametembelea eneo la Kivukoni Ferry jijini Dar es Salaam, Tanzania kwa ajili ya kuzindua mabasi mapya ya mwendokasi.

Mambo muhimu kuhusu ziara hiyo:
  • Sababu: Mabasi haya mapya, yanayotolewa na kampuni ya MOFAT, yamepelekwa kwenye njia ya mwendokasi ya Kimara-Kivukoni ili kupunguza msongamano wa abiria uliokuwa unashuhudiwa.
  • Ufuatiliaji: Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDART), Waziri Kindamba, pia alishiriki katika uzinduzi huo na kufuatilia utendaji wa mabasi hayo.
  • Tarehe ya kuanza: Mabasi hayo yalianza huduma asubuhi ya Oktoba 2, 2025, saa chache baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu kutangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, RC Albert Chalamila.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari hayo.

Si angemtuma Dotto Biteko waziri mkuu wake ajae.

Ye anadhani kazi ya kuendesha nchi ni raisi kama kuagiza kikombe cha kahawa na kashata ikifika saa 12 jioni Ikulu.

Huyu aliemtuma leo, hamtaki ndio zima moto wake; huko mbele atakuwa anamtuma nani.

Aanze kuzoea kupeleka mafisadi anayoyapenda panapo changamoto; Majaliwa week chache tu kabla ubunge wake aujakoma na uwaziri mkuu.
 
02 September 2025

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari hayo.

Pia soma
- Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa
Ziara ya kushtukiza na Gari za waandishi wa habari Ametutesa sana foleni mataa ya Magomeni saa nane kasoro leo
 
Ninyi WATAWALA endeleeni na maigizo yenu..siku zote mlikuwa hamuoni Wapiga kura wanavyoteseka?
 
Kumbe lile jina wanalompa mwenzake na Kafulila la kikongo ni lipi?
Trust me, there is a leadership vacuum.
 
20251001_135529.jpg
 
02 September 2025

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari hayo.

Pia soma
- Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa
Huwezi sema ziara ya kistukiza kukiwa na watu wote hao, huo mchezo ulikuwa planned nmemwona mkuu wa mkoa hapo, kwa maana nyingine walipigiana sim, so it's non sense
 
Wananchi wamewachachafya Jana Leo ni full bongo movie
Hata mimi nashangaa, kutembelea gafra kunasaidia nini baada ya kutatua matatizo ambayo watu wamekuwa wakiyalalamikia kilasiku? Tatizo ni kwamba matatizo mengi wao hayawagusi moja kwa moja mpaka itokee kama yaliyotokea jana ndio wanajitokeza
 
02 September 2025

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari hayo.

Pia soma
- Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

Anafikiria team yake ya mpira tu sasa masikini mafisadi wa mtandao wamemtoa
 
Back
Top Bottom