GE2025 Godson: Mungu awasamehe wanaomkosoa Samia, miaka 5 haitoshi

GE2025 Godson: Mungu awasamehe wanaomkosoa Samia, miaka 5 haitoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani

“Mimi ningekuwa na mamlaka ya kuivunja katiba ya Chama Cha Mapinduzi, miaka mitano ijayo haikutoshi kwa ajili ya Watanzania. Una dhamira nzuri kwa Watanzania, hao waropokaji wanaoropoka Mungu awasamehe”, ameeleza.
 
Kwa hiyo kuivunja katiba ya CCM ili atawale zaidi ya miaka 10? Huyu hajui katiba ya CCM siyo katiba ya nchi? Stupid
 
Back
Top Bottom