GE2025 Viongozi wa CHADEMA mbaroni kwa kuchana mabango ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad Mutafungwa amesema viongozi hao walikamatwa Septemba 30, 2025 katika maeneo mawili tofauti wakiendelea kuratibu tukio hilo.

Miongoni mwa waliokamatwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nyamagana, Charles Marwa Chinchibela (50), Mwenyekiti wa BAVICHA wa wilaya hiyo, Marko Chirstian (30), Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Igogo, Enock Sanganya Mpaka (55), Katibu wa CHADEMA kata ya Mbatini, Salum Seif Libaba (33), pamoja na Mwenyekiti mwingine wa CHADEMA kata ya Igogo, Dioniz Leons (33).

Alipotafutwa na Jambo Tv, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zacharia Obad amedai kuwa viongozi hao walikamatwa wakiwa katika shughuli za matendo ya huruma kwa jamii na si kuharibu mabango, hivyo ametoa wito kwa Serikali kuwaachia huru.
 
It doesn't makesense. Chadema hawana sababu yeyote kwa sasa ya kufanya hayo. Kinachoendelea ni kutafuta namna ya kuwadhibiti viongozi wa Chadema ili kuzuia moto wa 29th October. No Reforms No Election inazidi kupata nguvu.
 
Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad Mutafungwa amesema viongozi hao walikamatwa Septemba 30, 2025 katika maeneo mawili tofauti wakiendelea kuratibu tukio hilo.

Miongoni mwa waliokamatwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nyamagana, Charles Marwa Chinchibela (50), Mwenyekiti wa BAVICHA wa wilaya hiyo, Marko Chirstian (30), Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Igogo, Enock Sanganya Mpaka (55), Katibu wa CHADEMA kata ya Mbatini, Salum Seif Libaba (33), pamoja na Mwenyekiti mwingine wa CHADEMA kata ya Igogo, Dioniz Leons (33).

Alipotafutwa na Jambo Tv, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zacharia Obad amedai kuwa viongozi hao walikamatwa wakiwa katika shughuli za matendo ya huruma kwa jamii na si kuharibu mabango, hivyo ametoa wito kwa Serikali kuwaachia huru.
Hao watatolewa na wananchi tar 29 na kuendelea
 
Polisi wanatumika Sana kulichafua jeshi
 
Wenyeviti ndo waende kutoa mabango huyu muhaya ni mpumbavu
 
Tatueni shida ya maji!
Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad Mutafungwa amesema viongozi hao walikamatwa Septemba 30, 2025 katika maeneo mawili tofauti wakiendelea kuratibu tukio hilo.

Miongoni mwa waliokamatwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Nyamagana, Charles Marwa Chinchibela (50), Mwenyekiti wa BAVICHA wa wilaya hiyo, Marko Chirstian (30), Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Igogo, Enock Sanganya Mpaka (55), Katibu wa CHADEMA kata ya Mbatini, Salum Seif Libaba (33), pamoja na Mwenyekiti mwingine wa CHADEMA kata ya Igogo, Dioniz Leons (33).

Alipotafutwa na Jambo Tv, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zacharia Obad amedai kuwa viongozi hao walikamatwa wakiwa katika shughuli za matendo ya huruma kwa jamii na si kuharibu mabango, hivyo ametoa wito kwa Serikali kuwaachia huru.
Tatizo kubwa la mwanza nankanda ya ziwa kwa sasa ni maji!

Mabango hata yakingolewa CCM ilishashinda kabla uchaguzi!

Msitupotezee muda!
 
Back
Top Bottom