Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva...
Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi.
=================
"Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29...
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF) Samandito Gombo amesema siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya...
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Septemba 28, 2025 ametoa ahadi ya Upanuzi kwenye maegesho ya Kivuko cha Magogoni na Kigamboni Shabaha ikiwa ni...
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho kikwete amesema kuwa anaamini Bunge lijalo wabunge wa Pwani wote watakuwa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na pia anaamini hiyo itakuwa Kwa Nchi...
Nimekaa na wagombea wa nafasi za udiwani na nimewaambia siwezi kuomba barabara alafu diwani anaenda kumpa Tarura barabara laini laini,huyo diwani hawezi kunifaa kwenye jimbo langu,na wanasema...
Wakuu
Bwege anasema Nchi hii, ukitaka kupata taabu, kosoa wakubwa. Wanachotaka ni ujikombe kwao; jambo zuri uwapigie makofi, baya pigie makofi. Ameyasema hayo wakati kifanya mahojiano na...
Seleman Bungara maarufu "Bwege" amemtaka Rais Samia kutoa majibu kuhusu tuhuma zinazohusu kutekwa kwa baadhi ya watu, Bwege amesisitiza kuwa kukaa kimya katika tuhuma hizo ni sawa na kuthibitisha...
Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Seleman Bungura maarufu kama Bwege, akizungumza na kituo cha Mwanahalisi TV leo Septemba 28, 2025...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea Udiwani kata ya Mchikichi Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nurdin Bilal Juma (Shetta) ameandika:
"Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa ndugu...
Kizungumza kupitia Clouds TV, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa.”
Wakuu
Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa
Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa
Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya...
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Clouds TV leo, Septemba 29, 2025 amesema;
"Wakati tunakua miaka ya 70 hadi 80 tulikuwa tunaoga mtoni pale kijijini...
Wakuu,
Wananchi wa toka sehemu mbalimbali wameonyesha kufurahishwa na mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Samia jinsi anavyojitoa kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao pindi wanapokubwa...
Harakati za ahadi zisizo wezekana kutekelezeka zinazidi kuongezeka kwa CCM!
Ila wasituone Watanzania ni wajinga tunarekodi vyote na muda ukifika watakipata wanachostaili
Mimi nipo siti ya mbele...
Hivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyojitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma mjini.
Soma Pia: - GE2025 - Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge...
Hii sio bahati mbaya hata kidogo
Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli.
Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.