Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kashfa kubwa zilizoibuliwa ndani ya Bunge (2005–2015) wakati wa Utawala wa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, bunge lililojumuisha pumba na mchele (wabunge wa chama tawala na upinzani) 1...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Ukiona mtu anamchukia Samia ujue hana kazi, anafanya biashara ambazo hazina sehemu ya kupigia mapene, hana njia za kupiga pesa, hajichanganyanyi na biashara za Kinondon, Ilala na Kijitonyama...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Kitoto kina miaka 12 lkn kinasukumwa kwenye ndinga ya milioni 500 kina dereva na mlinzi pembeni. Kodi zetu zinatapanywa kwa maslahi ya wachache. Shubamiti!!! Potelea pwete, kifo kiliumbwa...
33 Reactions
78 Replies
2K Views
Watawala wa Tanzania wamekua na tabia ya kuishi na kutawala kwa mazoea. Kwa sasa serikali iwe makini na CCM sauti zinazodai maandamano ni nyingi na zinazidi kuongezaka zinazotaka mabadiliko...
1 Reactions
0 Replies
162 Views
  • Featured
Hii sheria ya Makamo wa Rais kupata mserereko wa kuwa Rais inapelekea madhara makubwa mno kama ikiwa makamo wa Rais akawa ni mtu wa uchu wa madaraka. Nchi za wenzetu huwa wanatumia mbinu za...
17 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakili William Maduhu Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa akizungumza katika Mdahalo wa Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025 kipindi cha Star TV ameelezea Taswira halisi kuelekea uchaguzi mkuu...
1 Reactions
4 Replies
301 Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, ameeleza kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, mkoa huo umejiandaa kikamilifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote, kwa kuwa Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Jumaa Aweso amemuomba Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapopata Ridhaa ya kuongoza Tena...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema kuwa katika vikao vyake CCM haikukurupuka kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa...
0 Reactions
4 Replies
282 Views
JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
0 Reactions
4 Replies
172 Views
Mgombea Urais wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema chama hicho hakiungi mkono vyama ambavyo vinanadi uchaguzi usifanyike,na badala yake kuwataka wananchi wajitokeze...
0 Reactions
5 Replies
273 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasria, amesema kufanya maandamano kama njia ya kutatua changamoto, kumepitwa na wakati. Wasira aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi na...
3 Reactions
12 Replies
416 Views
Nape Nnauye, amempongeza Mgombea Urais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita amethibitisha kuwa na utu pamoja na uwezo wa...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Habari zenu Greate Thinkers, Naomba kutoa wito wa kukataa kusifungua/kuzisoma/kuzitolea maoni mada zote zinazoihusu ccm, kufanya hivi ni njia moja wapo ya kuonesha CCM kwamba hatuwakubali na sera...
5 Reactions
5 Replies
236 Views
Wakuu ukiiskiliza hii video kwa makini ni kama wameanza kuogopa kuhusu kutoka oktoba Walidhani wananchi tunatania, sasa hivi kila anapoenda kusoma risala lazima agusie kuhusu oktoba tunatoka...
0 Reactions
3 Replies
268 Views
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema “Sisi hatutaki kuahidi vitu ambavyo havitekelezeki ndio na kama vibanda hivyo havitajengwa basi nikija...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Hali hii si ya kawaida, Mamlaka zinatambua, watu wameshuhudia Marehemu Kibao alivyokamatwa na kutokomea na gari lenye plate namba ambazo hata kama hazijulikaniki, ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na...
5 Reactions
19 Replies
873 Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza nchi serikali yake itatoa vifaa bure kwa walemavu wa aina zote ili...
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Wakuu Huko Pangani Wananchi wamesafisha barabara kumshukuru Samia kwa mradi kutekelezwa wakisema Oktoba ''Tunatiki'' na Mgombea hana deni kwao
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo...
5 Reactions
7 Replies
353 Views
Back
Top Bottom