Mafao ya wenza wa Viongozi ilikuwa ni ishara ya dharau sana kwa Wananchi

Mafao ya wenza wa Viongozi ilikuwa ni ishara ya dharau sana kwa Wananchi

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
12,489
Reaction score
14,051
Mafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mke wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na kuondoa huo ujinga wa ali ya juu.

Kwenye nchi maskini kama Tanzania matundu ya vyoo tunajengewa kwa hisani ndo kweli twende kulipa wenza wa Viongozi ambao sio Waajiriwa.

CCM mtandao hamna uchungu na nchi. Mwingulu Nchemba yeye kaahakikisha anaua mfuko wa road fund barabara hamna kujengwa ila hii nchi mnaibagaza sana jamani. Kuweni na huruma. Imagine mke wa Mstaafu wanalipwa hawajai kuajiliwa kisa mme wake anapewa gari jipya uduma zote nyumba anajengewa hii Nchi ni kama ina laana Mungu amemleta Magufuli mtandao ukapiga propaganda Tukamchukia mzee wa watu bila sababu yule Mzee alisema mtanikumbuka sio kwa Mabaya alikua anajua yuko kwenye vita kubwa sema alishindwa kusema kwamba jamani kuna watu wanisumbua watanzania wenzangu yule Mzee alikua kwenye vita kubwa sana

Pia soma > GE2025 - Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka
 
Mafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mkwe wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na kuondoa huo ujinga wa ali ya juu.

Kwenye nchi maskini kama Tanzania matunda ya vyoo tunajengewa kwa hisani ndo kweli twende kulipa wenza wa Viongozi ambao sio Waajiriwa.

CCM mtandao hamna uchungu na nchi. Mwingulu Nchemba yeye kaahakikisha anaua mfuko wa road fund barabara hamna kujengwa ila hii nchi mnaibagaza sana jamani. Kuweni na huruma.

Pia soma > GE2025 - Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka
Ukiwaambia hivi kwa ushauri mzuri bado wanakuja wakuteke wakakuue au wakupoteze
 
Kabisa tena hii ni zaidi ya dharau.

Fikiria baba ni rais mstaafu,mama mbunge na mtoto waziri.

Hapo wanavuna tu pesa kwenda familia moja.

Wanaona haitoshi wanaamua wapitishe sheria mke wa kiongozi mstaafu eti alipwe na nchi daah hii ni zaidi ya kukosa huruma kwa wananchi maskini.

Watanzania tuna kila sababu ya kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa walafi na watu wasiokuwa na huruma na mwananchi maskini.

#oct 29 tunatoka.
 
Aliyesababisha dharau hii kwa Watanzania ni JK rais mstaafu
 
Attachments

  • images (2)~3 (1).jpeg
    images (2)~3 (1).jpeg
    14.8 KB · Views: 26
Ukiwaambia hivi kwa ushauri mzuri bado wanakuja wakuteke wakakuue au wakupoteze
Anabadilishiwa mpaka gari jipya mke wa Mstaafu anapewa kile anachopewe Waziri mkuu Mstaafu na yeye anapewa vile vile hatari sana hii viongozi ni wengi Sana tutakipia wake zao wangapi?
 
Aliyesababisha dharau hii kwa Watanzania ni JK rais mstaafu
Just imagine bilioni 84 zingejenga kilometers nyingi za lami then matundu mangapi ya vyoo tungejenga hospital ngapi tungepeleka Uduma kuokoa watu tuwe serious kama nchi
 
Kwenye hiyo attachment ya Kicheere, hao wastaafu wanachangia shilingi ngapi? Au ni kama mtandao fulani unatutoza sisi lakini baadhi hauwatozi tozo?
Hii nchi Inaitaji uponyaji Tunapoelekea sio alafu mtu kama Lissu yuko ndani kisa makaa ya Mawe kusema jamani tunanufaika vipi na hii mali ndani na uhaini juu😂😂
 
Mafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mke wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na kuondoa huo ujinga wa ali ya juu.

Kwenye nchi maskini kama Tanzania matundu ya vyoo tunajengewa kwa hisani ndo kweli twende kulipa wenza wa Viongozi ambao sio Waajiriwa.

CCM mtandao hamna uchungu na nchi. Mwingulu Nchemba yeye kaahakikisha anaua mfuko wa road fund barabara hamna kujengwa ila hii nchi mnaibagaza sana jamani. Kuweni na huruma. Imagine mke wa Mstaafu wanalipwa hawajai kuajiliwa kisa mme wake anapewa gari jipya uduma zote nyumba anajengewa hii Nchi ni kama ina laana Mungu amemleta Magufuli mtandao ukapiga propaganda Tukamchukia mzee wa watu bila sababu yule Mzee alisema mtanikumbuka sio kwa Mabaya alikua anajua yuko kwenye vita kubwa sema alishindwa kusema kwamba jamani kuna watu wanisumbua watanzania wenzangu yule Mzee alikua kwenye vita kubwa sana

Pia soma > GE2025 - Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka
Dharau ni nyingi sana. Mifano ni mingi kama mafao kwa wenza, kinga kwa wahuni wote, kuuza Bandari, Misitu, Ngorongoro, makaa ya mawe, Mwadui, KIA kifisadi.

Utesaji, utekaji, mauaji ya wazi, kuweka watu magereza, mahakama zisizo tenda haki, kubariki ufisadi, kuwaweka karibu watu kama Rostam, Kizigha, Wicknell Chivayo nk.
 
Back
Top Bottom