Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,483
Reaction score
11,280
Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.

Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.

Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.

Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.

Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.

Kula chumba icho
 
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 lissu yupo jera.

Nakumbuka Kuna Askofu Moja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.

DPP Mwakitalu. Team yake na Samia wao tuna jambo nao zito sana baada ya Oktoba 29.

Lazima watuelewe Watanzania safari hii
 
Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.

Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 lissu yupo jera.

Nakumbuka Kuna Askofu Moja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.

Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.

Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.

Kula chumba icho
Yani hii Samia wamemhaini na hamna kitu atafanya
 
Mkuu ukifatilia hii issue utaona kuna watu wakubwa sanaa wapo nyuma ya hii issue....Hii issue ni kubwa sana tena sanaa na hii plan ilishapangwa mda sanaa tena sanaa....Hayupo mwenyewe huyo...
Yaaani Mungu asaidie mtizamo wako uko hivyo
 
Mkuu ukifatilia hii issue utaona kuna watu wakubwa sanaa wapo nyuma ya hii issue....Hii issue ni kubwa sana tena sanaa na hii plan ilishapangwa mda sanaa tena sanaa....Hayupo mwenyewe huyo...
You have read my mind. Huwez kupanga point namna ile.it took much time of a rehearsal. Umekaa umeandika tamko umepima mambo ume explore all outcomes. Why select this time?
 
Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.

Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.

Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.

Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.

Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.

Kula chumba icho
Hii ni point📌📌
 
Mistake ilikuwa kwenye TIITHI kuruhusu karibu nusu ya nchi isishiriki uchaguzi joto lazima liwe kubwa sana huwezi kudharau watu wote hao ukasema uko serious na usalama wa taifa
Ila Samia ni kichwa ngumu, kwamba anamfunga Lissu afu afanye uchaguzi Kwa amani ,, pumbafuuuuu kabisa
 
Unajua watu wakipewa V8 wakatembelea hayo magari wanajiona wamemaliza kila kitu na kwamba wana akili kuliko wote. Classes ndio chanzo cha midharau.
 
Back
Top Bottom