Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 608
Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya.......
"Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii.
Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia.
Nawakumbusha hawa watekaji kwamba juzi Polepole alikua kiongozi mwandamizi kwenye serikali ya Magufuli.
Hakuna ambae angeamini kwamba miaka mitatu baadae atakua anawindwa kama Swala.
Power is transient, enyi watu mnaoteka mda sio mrefu mtajuta kwanini mlifanya hivi na hao wanaowatuma furaha zenu sasa zitakua vilio baadae.
Watanzania amkeni, hakuna alie salama".